Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,042
- 3,699
Amepumzishwa kwa nguvu sasaMa shaa Allah.
Mpigania uhuru asiyechoka.
Amepumzishwa kwa nguvu sasaMa shaa Allah.
Mpigania uhuru asiyechoka.
Amekufa mstari wa mbele akipigania anaowaongoza!...Dunia ngumu sana!Maisha ya paka na panya kweli haya. Na yeye ndo kiongozi, anawaachaje askari wake anaenda kujificha?
Kama unampenda mfuate huko huko ila mwenzio utamkuta anamiliki bikra 72 sijui atakuelewa ww ajuza ambaye papuchi yako imepanuka km handaki la Hamas.Ma shaa Allah.
Mpigania uhuru asiyechoka.
Huyo ibilisi Yahya acha tu yamkute aliwahi toa kauli kuwa wapalestina wafe tu maana ni sadaka tena akawaambia wajumbe wa palestina walio kwenye mazungumzo ya kusitisha mapigano wakaze sana hamna maana wao wana advantage kubwa sana kuliko Israel matokea yake katangulizwa kuzimu, gaza imekuwa majivu, wapalestina zaidi ya 42K wameuwawa, Lebanoni nayo imekuwa gaza nyingine.Hawa viongozi wao hujificha na familia zao.... Halafu wale wanyonge ndo wanatumwa wakajitoe mhanga.huyu bwege yeye na familia yake hataki kujitoa mhanga? Namwona mke wake kama analia hivi.... Anaona wanateseka.for nothing.jamaaa alikuwa muoga sana huku akijifanya kutoa maneno ya kishujaa....
Ni hivi. Israel iliwekeza sana sana kwenye kuingiza mashushu kwenye uongozi wa Hizbollah, Hamas na hata Iran. Inaonekana wana habari nyingi sana za ndani kabisa na walikuwa wanangojea wakati sahihi tu wa-react. Lile shambulio la October 7 lililipua kila kitu. Ngazi zote za juu za uongozi wa Hizbollar, Hamas na Iran zimejaa mashushu wa Israel.anaevujisha hizi video huwa ni nani... ukiona video kama hizi zinavuja basi humo ndani yake kuna michawa mitupu ndio maana hawa jamaa wanapigika hovyo
Mbaya sana hii.. Yani wafe wengine ye apone . Alizingua Sana.Masaaa machache kabla ya shambulio la October 7, Yahaya kwa kujua hali inaweza kuwa tete, aliichukua familia yake kuelekea kwenye mahandaki kwajili ya usalama pamoja na kuleta mahitaji muhimu kama maji, chakula, mito ya kulalia, tv, n.k.
mahandaki yametengenezwa maalum kwajili ya kuwaficha Hamas na familia zao, wapalestina wa kawaida huwa wanaachwa juu wapambane na hali zao sambamba na kuwa ngao pale Israel inapojaribu kushambulia mahandaki !!
View attachment 3130327
View attachment 3130328
Very true..anaevujisha hizi video huwa ni nani... ukiona video kama hizi zinavuja basi humo ndani yake kuna michawa mitupu ndio maana hawa jamaa wanapigika hovyo
Whaaat! Kuna mashushushu wengi sana kwenye hivi vikundi vya ugaidi. Iwe ISIS iwe Hizbollar, iwe nani... ni lazima wanapenyeza wapelelezi.Nop canera hizi zina record baada kuvamiwa adui hupata nafasi kuchukua camera kuona yote yaluyo rekodiwa.....tujipngezev kdg jsnani hakuna machawa ni tech tuuu
Akili zako kama kisoda.Ma shaa Allah.
Mpigania uhuru asiyechoka.
Hii picha ndo mana maswali yaliibuka pale alipopigwa chumban pamoja na mlinzi wake wakiwa wamelala chumba kimoja
Kwa nini anajificha?alikua hataki kufa awahi mabikira 72Ma shaa Allah.
Mpigania uhuru asiyechoka.
Hivi huko shimoni walikua wanaishije, kipindi Israel imekata umeme na maji gaza nzima 🙆Masaaa machache kabla ya shambulio la October 7, Yahaya kwa kujua hali inaweza kuwa tete, aliichukua familia yake kuelekea kwenye mahandaki kwajili ya usalama pamoja na kuleta mahitaji muhimu kama maji, chakula, mito ya kulalia, tv, n.k.
mahandaki yametengenezwa maalum kwajili ya kuwaficha Hamas na familia zao, wapalestina wa kawaida huwa wanaachwa juu wapambane na hali zao sambamba na kuwa ngao pale Israel inapojaribu kushambulia mahandaki !!
View attachment 3130327
View attachment 3130328
Hawa jamaa huwa wanakulana huko chini. Wanasema ni Sunna.Hii picha ndo mana maswali yaliibuka pale alipopigwa chumban pamoja na mlinzi wake wakiwa wamelala chumba kimoja