VIDEO: Waziri Muhongo atajwa kuvujisha ziara ya Waziri Mkuu kwa meseji

Sioni tatizo lolote kuhusu Mhongo kutoa amri kuwa within 24 Hours hizo meter zifanye kazi.

Mlitaka asitowe hayo maelekezo?
Muhongo Mwenyewe ashakana kwamba hilo swala halipo kwenye wizara yake ,Jana Manyerere Jacton alileta hilo kanusho la Muhongo ,sasa wewe unaposema hushangai yeye kutoa Maagizo una maana gani ??
 
Ukawa umeingiaje hapa, na mimi ninayesema ukweli utaniita ccm?
Wewe kama unasema majungu ni ukawa tu hapo hakuna siri yoyote iliyovuja ila kituo chenu na magazeti yenu yasiyoitakia mema nchi hii ndio yanaeneza huu uzushi kama ni yeye huyo Muhongo hapo katoa amri izo mashine zifanye kazi sababu kaona azifanyi kazi kelele zenu wachaga mlitaka asitoe hiyo amri?
 
Sioni tatizo lolote kuhusu Mhongo kutoa amri kuwa within 24 Hours hizo meter zifanye kazi.

Mlitaka asitowe hayo maelekezo?
Serikali inafanya kazi kwa SMS tangu lini? Kwanini iwe siku moja kabla ya PM kwenda? Wewe nawe ni jipu tu unayeisoma namba.
 
Sioni tatizo lolote kuhusu Mhongo kutoa amri kuwa within 24 Hours hizo meter zifanye kazi.

Mlitaka asitowe hayo maelekezo?
Ni kweli zilikuwa hazifanyi kazi miaka 5 iliyopota? Na je ni kwanini?
Naona "machine inajitafuna" sasa
 
Sasa hapa ndo tutaujua ukweli je JPM anawatumbua wengine kwa sababu hajawateuwa yeye?Mhongo je atatumbuliwa kwa kukumbatia majipu?kutoa siri za baraza la mawaziri,mtihani no 1 KWA JPM
hamjateua yeye tusubiri uhalisi wa kauli ya membe
 
Anasema "nafikiri imetoka kwa..." Ina maana hana uhakika?

Hakuna popote pale kwenye hii clip ya sekunde 27, ilipotajwa hili neno 'nafikiri'... mbona watanzania tunakuwa waongo hivyo?? clip yenyewe linasikika vizuri kabisa!
 
KWA SMS?huoni tatizo?kwa nini asimuandikie barua za kioffice na ref no juu?kazi za kiofisi kwa sms mashine zilizozimwa for more than 4 YRS?

Ulimwengu huu ni wa kidigitally dada uhitaji barua kumkumbusha mtu kukaa vizuri!
 
Wewe kama unasema majungu ni ukawa tu hapo hakuna siri yoyote iliyovuja ila kituo chenu cha wachaga na magazeti yenu yasiyoitakia mema nchi hii ndio yanaeneza huu uzushi kama ni yeye huyo Muhongo hapo katoa amri izo mashine zifanye kazi sababu kaona azifanyi kazi kelele zenu wachaga mlitaka asitoe hiyo amri?
Uchaga umeingiaje hapa, kusema kuwa profesa anaonewa kuna uhusiano gani na uchaga?, peleka majungu yako huko lumumba
 
Kumekuwepo na Watu waliokua wakitetea kwamba Waziri Muhongo hajamtumia Meseji meneja wa kurasini oil Jetty kuhusu ziara ya Waziri Mkuu.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo na Mizani, Bibi Magdalena Chuwa, amemtaja live kwamba, ametumiwa Meseji kutoka ngazi za juu, alipoulizwa na Waziri Mkuu ngazi za juu zipi zitaje, ndipo akasema alitumiwa meseji na Waziri wa nishati na madini Mh. Prof. Muhongo kwamba, akitupa maelekezo kwamba within 24hours, hizo mita zianze kufanya kazi.

Angalia mwenyewe video.

Ndio maana tunasema kuwa muhongo awajibishwe maana ni kosa kubwa kwa waziri uliye kula kiapo kuhifadhi siri za baraza la mawaziri
 
Huu ni muda mwafaka kumpima Rais,Kama akiongea anamaanisha au anaongea ili kufifisha jina la EL vichwani mwa Watanzania.
Muhongo must go....!!
Mkuu jina la El lowasa hilo ni tunu kutoka kwa manani hivyo kulifuta ni ndoto
 
Sasa hapa ndo tutaujua ukweli je JPM anawatumbua wengine kwa sababu hajawateuwa yeye?Mhongo je atatumbuliwa kwa kukumbatia majipu?kutoa siri za baraza la mawaziri,mtihani no 1 KWA JPM
Businesses as usual
 
Inawezekana profesa muhongo alikuwa anatoa maagizo ya kazi kama kiongozi bila kujua kama kuna ziara ya kushitukiza ya mh. Waziri mkuu
Kabisa! Halafu Mh. Magufulu hatumbui majipu kijinga kijinga! Anapima mambo mengi sana. Anapeleleza kwanza nk. Hawa UKAWA walikuwa wanangojea tu mistake ya Muhongo. Yaani ni vipofu hata na kwa utendaji wake wa kazi na bidii yake yote hawayaoni. Inaonekana UKAWA ikichukua nchi itaweka viongozi malaika maana wao ndia hawatakosea. Hata makosa yanapimwa.
 
Sioni tatizo lolote kuhusu Mhongo kutoa amri kuwa within 24 Hours hizo meter zifanye kazi.

Mlitaka asitowe hayo maelekezo?
1455356469730.jpg
 
Kabisa! Halafu Mh. Magufulu hatumbui majipu kijinga kijinga! Anapima mambo mengi sana. Anapeleleza kwanza nk. Hawa UKAWA walikuwa wanangojea tu mistake ya Muhongo. Yaani ni vipofu hata na kwa utendaji wake wa kazi na bidii yake yote hawayaoni. Inaonekana UKAWA ikichukua nchi itaweka viongozi malaika maana wao ndia hawatakosea. Hata makosa yanapimwa.
Mkuu sio ukawa wote tunamchukia profesa muhongo, wengine tunamkubali
 
Back
Top Bottom