MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,244
- 50,433
Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki.
Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu.
View: https://twitter.com/i/status/1731941846350172387
Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu.
View: https://twitter.com/i/status/1731941846350172387