Video : Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up"

Nimewahi kuandika kuhusu huyu mwamba hapa wakati huo alikuwa ana post video zake kwa kiingereza tu sikuwahi kujua kama anajua kiswahili.

Kama amenza kuachia tena videos nitakuwa nazileta humu Jf kuzifafanua nilivyo Elewa.

Ila kiukweli hoja zake zinafikirisha Sana amewafanya maelfu ya watu kuamini kweli kwenye Hit Em Up Yule hakuwa Tupac bali pepo akiongea kupitia sauti ya Tupac.

Binafsi kupitia video za huyu jamaa ni naamini kwa asilimia zote tena pasi na Shaka yoyote ile kwamba kwembe wimbo Hit Em Up Tupac alikuwa possessed na spirit ambae ndio alikuwa anaongea.

Ukitazama video za huyu jamaa lazima utaamini kwamba kwenye Hit Em Up Tupac alikuwa possessed
Wavivu bana๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
I dislike your comment. It is not uplifting
I never liked your whole thread to start with. Why are you people demonizing good music?
Hit em up is the dopest diss track ever recorded.. pure emotions, lyricism,facts and artistic skills..plus, it has the all-time number one outro from any top rapper's song.
Sasa, all of a sudden you are here on JF typing nye nye nye, mapepo this, mapepo that! Why?
 
Back
Top Bottom