Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok.
Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho.
Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za watu, vitu, wanyama, viumbe wa kiroho na matukio mbalimbali.
Anasema ameya study maisha na muziki wa Tupac Shakur na Notorious BIG kwa much wa miaka 20 na ame u study wimbo " Hit Em Up" Kwa miaka 20 na kupitia taaluma yake ya " Sayansi na Sanaa ya Lugha za Kiroho " Pamoja na " Sayansi na Sanaa ya Kusoma Sauti za Ndani" amegundua kwamba, mwaka 96 wakati Tupac yupo busy studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up", Tupac alikuwa amepandwa na pepo na kwamba pepo huyo ndie alie kuwa akiongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia Sauti ya Tupac.
Anasema kupitia taaluma yake ya Sanaa na Sayansi ya Lugha za kiroho, pamoja na Sanaa na Sayansi ya Sauti za Ndani, amethibitisha pasi na Shaka yoyote ile ( Proving beyond any reasonable doubt) kwamba wakati Tupac Shakur anarekodi wimbo " Hit Em Up" alikuwa amepandwa na pepo na kwamba ukiyaondoa maneno 25 pekee, maneno yote kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Ndani ta wimbo Hit Em Up, ni maneno ya pepo huyo kupitia kinywa na midomo ya Tupac.
Vile vile anasema anatoa tafsiri ya kina la kila neno kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Shakur Ndani ya wimbo Hit Em Up.
Na katika kuonyesha kwamba anajiamini kwenye hoja yake anaachia kitabu ambacho kitakuwa katika mfumo wa video ambazo atazipost kupitia You Tube Channel yake.
Kule Tik tok amesema hizo video za kitabu chake ambacho amekipa jina " Spiritual Aspect of the Song Hit Em Up" Ataanza kuziachia rasmi tatehe 16 June 2025 ambayo tarehe 16 June ni birthday ya Tupac.
To what extent do u agree with him?
Nieambatanisha na video 👇👇👇
View: https://youtube.com/watch?v=iElmWms5ICs&si=ZzNZOeUlzVAeULlA