Video na Picha: Mogadishu City ni nzuri kuliko Dar, msidanganywe!

Wewe msomali kuwa na adabu...
Dar ni jiji mara 20 ya Mogadishu...
Ogopa sana wabongo,ni matapeli .
Somewhere in Mogadishu
20230529_183133.jpg
20230529_183127.jpg
20230529_183130.jpg
20230529_183136.jpg
20230529_183101.jpg
20230529_183103.jpg
20230529_183058.jpg
20230529_183054.jpg
20230529_183046.jpg
20230529_183040.jpg
20230529_183038.jpg
 
Ukisikiliza vyombo vya habari kuhusu Mogadishu n Somalia unaweza dhani labda huko ni hakuna maisha kabisa,ule ni upotoshaji n ukweli halisi nimkinyume chake..

Mogadishu ni Moja ya Majiji mkubwa na Jiji limepangwa vizuri na Lina Kasi kubwa sana ya ujenzi wa majengo ya biashara..

Kwa kuifananisha na Dar naona ni nzuri sana ,najua mtatoa mapovu ila huu ndio ukweli mchungu..

My Take
Kwa jinsi wasomali Wana akili,spirit ya ujasiriamali na Wajasiri basi Nchi Yao ikija kupata Utulivu tuu mjue Mogadishu itakuwa Dubai ya Afrika..
View attachment 2639405View attachment 2639406

Unataka kutuambia kwao hakuna Kwamtogole na Tandale?
 
Vitu vingine tu ni media zinaelezea sivyo kuhusu somalia.

Mana habar tunazopata kuhusu somalia ni Al Shabab na ugaidi basi .hakuna zaidi ya hicho

Kumbe Kuna nyumba za kuishi watu ????
 
Ukisikiliza vyombo vya habari kuhusu Mogadishu n Somalia unaweza dhani labda huko ni hakuna maisha kabisa,ule ni upotoshaji n ukweli halisi nimkinyume chake..

Mogadishu ni Moja ya Majiji mkubwa na Jiji limepangwa vizuri na Lina Kasi kubwa sana ya ujenzi wa majengo ya biashara..

Kwa kuifananisha na Dar naona ni nzuri sana ,najua mtatoa mapovu ila huu ndio ukweli mchungu..

My Take
Kwa jinsi wasomali Wana akili,spirit ya ujasiriamali na Wajasiri basi Nchi Yao ikija kupata Utulivu tuu mjue Mogadishu itakuwa Dubai ya Afrika..
View attachment 2639405View attachment 2639406
Acha kufananisha Dar na hicho kijiji sijui unakiita Mogadishu. Halafu hiyo tabia yako ya kulinganisha miji mbalimbali karibu itakufanya uwe chizi ! Mara ujiite Sunk, mara ujiite Choice ! Wewe unatakiwa kupuuzwa kabisa.
 
Back
Top Bottom