ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 60,387
- 71,036
Wakenya mna mambo sana mkisha loea Tanzania. Kwanini mnakimbia uraia wa nchi yenu na kujivika Utanzania wakati sisi hatufanyi hivyo?Ukisikiliza vyombo vya habari kuhusu Mogadishu n Somalia unaweza dhani labda huko ni hakuna maisha kabisa,ule ni upotoshaji n ukweli halisi nimkinyume chake..
Mogadishu ni Moja ya Majiji mkubwa na Jiji limepangwa vizuri na Lina Kasi kubwa sana ya ujenzi wa majengo ya biashara..
Kwa kuifananisha na Dar naona ni nzuri sana ,najua mtatoa mapovu ila huu ndio ukweli mchungu..
My Take
Kwa jinsi wasomali Wana akili,spirit ya ujasiriamali na Wajasiri basi Nchi Yao ikija kupata Utulivu tuu mjue Mogadishu itakuwa Dubai ya Afrika..
View attachment 2639405View attachment 2639406
Kwani wewe huoni picha Mzee? Dar inafika hapa 👇
Kamatia fursa na usidanganyikeKwa hiyo tufanyeje sisi?!
Tuhangaike na ripoti ya CAGKwa hiyo tufanyeje sisi?!
Shida ya watu wenye akili ndio hiyo,Hadi waje waelewane sio LeoSomalia siku ikitulia ndio tutajua hatujui nafikir hiyo nchi ni mwingoni mwa nchi vinara za Africa ambazo zina idadi kubwa ya namba ya Diaspora ingawa wapo huko g'ambo kama wakimbizi lkn kiukweli huko wana pata elimu iliyo bora na lishe bora
Tzn imejaa wajinga acha waliweTuhangaike na ripoti ya CAG
Mungu anakuona😆Tzn imejaa wajinga acha waliwe
Usikaririshwe Mzee,Somalia is experiencing economic boomMogadishu patamu kumbe.!