ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,878
- 69,569
Ukisikiliza vyombo vya habari kuhusu Mogadishu n Somalia unaweza dhani labda huko ni hakuna maisha kabisa,ule ni upotoshaji n ukweli halisi nimkinyume chake..
Mogadishu ni Moja ya Majiji mkubwa na Jiji limepangwa vizuri na Lina Kasi kubwa sana ya ujenzi wa majengo ya biashara..
Kwa kuifananisha na Dar naona ni nzuri sana ,najua mtatoa mapovu ila huu ndio ukweli mchungu..
My Take: Kwa jinsi wasomali Wana akili, spirit ya ujasiriamali na Wajasiri basi Nchi Yao ikija kupata Utulivu tu mjue Mogadishu itakuwa Dubai ya Afrika.