Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,183
- 2,564
Tutazuia hadi lini?
Ni makala fupi kwa njia ya video kama inavyoletwa kwako na Mwandishi na Mwahabari nguli Ansbert Ngurumo aishiye uhamishoni Uingereza..
Ni kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Safari hii amemwibua na kumleta kwetu Askofu Zachary Kakobe wa makanisa ya Full Gospel Bible Fellowship Tanzania (FBGF).
Tazama na sikiliza kwa makini hadi mwisho video hii 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻ya dakika 9 tu na kisha baada ya hapo tia neno lako..
Askofu Zachary Kakobe anatumia Biblical perspective (mtazamo wa ki-Biblia - Neno la Mungu) katika kujenga hoja yake juu ya mpango wa Mungu tangu mwanzo kuwapa kila watu nchi au mataifa yao yenye mipaka ulimwenguni pote...
Anasema Tanganyika kurudi ni swala la muda tu kwa sababu ni mapenzi ya Mungu kuwarejeshea Watanganyika nchi na taifa lao la Tanganyika lililopotezwa na Nyerere na wenzake wachache ktk mazingira ya ajabu yasiyoweza kuelezeka kirahisi na kueleweka kwa watu wenye akili timamu..
Anaendelea kusema kuwa, ndiyo maana kila mara hoja hii inapoonekana kama kupotea, ghafla baada ya muda Mungu huinua watu wengine vinara wa kuongoza vita ya madai ya nchi/taifa la Tanganyika kwa nguvu na kasi kubwa sana...
Haya anayaongelea kanisani kwake. Waumini wake wabaonekana kuelewa somo vizuri sana. Wanabebwa na hamasa ya nguvu kweli kuitaka Tanganyika yao..
Na mwisho Mwandishi Ansbert Ngurumo anahitimisha makala yake na swali: TUTAZUIA..?.........HADI LINI??