Video fupifupi almaarufu kama clip mitandaoni, zinazoelekeza cha kufanya kwenye simu zetu

Imagine una doc muhim kwenye email bank issue ina haraka..mkuu haha wewe viatu vyangu.
Haha naelewa, ilala sasa ndio mjifunze hata kuandika passwords ya emails zako kwenye notebook. Kwa mimi mwenye multiple emails alafu zote nimezionganisha kwenye devices ninazotumia notebook ni muhimu sana. Au emails zako zote hakikisha zinakuwa na the same password hii hudaidia kutokusahau kwa mtu kama wewe asiyependa mambo ya notebook.
All in all pole sana dada yangu
 
*35*0000*16# sms block code
Kuitoa #35*0000*16#

*35*0000*11# incoming call block code
Toa #35*0000*11#

Ukitaka block vyote call&sms *35*0000#
Toa kwa #35"0000#

Nb. Nimeona inakubali kwa tigo, voda na halotel zinafeli, Airtel sijajaribu.
 
Wakuu msithubutu kufuatilizia wanaoelekeza kudial namba flan flan (code) kwa Mfano #33*0000# eti itakusaidia kufanya jambo flan kwenye simu yako.

Ushuhuda. Julie kabla ya eid Al adhaa niliangalia kwenye clip ikasema ill mtu asikupate labda hutaki usumbufu na utabaki online dial code nikazidial. Yaliyokuta hadi leo nateseka

Simu yangu na haha so handset ni line..hazipokei sms ball zinatuma tu.

Nimehangaika sijapata suluhisho hadi sasa.
pole sana kuondoa code zozote utabonya ##002# kila kitu kitarudi kama mwanzo
 
Back
Top Bottom