VIDEO: Baadhi ya Wajumbe wa ZEC wapinga maamuzi ya Mwenyekiti wao kubatilisha Uchaguzi wa Zanzibar

hivi kwanini walianza kutoa matokeo wakati walijua kuna mapungufu yalitokea!?
 
hivi kwanini walianza kutoa matokeo wakati walijua kuna mapungufu yalitokea!?

Jibu ni kwamba hakuna mapungufu. Waliona kwamba ccm inaenda kushindwa wakapata kigugumizi. We unategemea nini kutoka kwa mwenyekiti wa zec ambaye ni kada wa ccm ambaye alishawania ubunge na kuangushwa kwenye kura za maoni?
 
Nadhani hawa ndiyo mawakala wa CUF, maana moja ya tatizo la uchaguzi ni kuwa kuna wajumbe walikuwa wanashabikia vyama. Wakamatwe hawa haraka sana

Jamani hata kama akili yako haina akili, si bora ujiongeze kidogo; ufanye utafiti au utafute watu wanaojua maswala kama haya kwa kina zaidi wakusaidie badala ya kukurupuka na Jecha wa ZEC na kuanza kuwaita majina na kuwachagulia chama watu usiowajua?! Hawa wawili wawe CUF au lah, kwani ni dhambi kuwa mwana CUF? mbona CUF ni chama halali kama CCM!; walichosema ni kutamka ukweli kadri wanavyoujua na dhamira zao wala sio vinginevyo; kua wewe!
 
Nadhani hawa ndiyo mawakala wa CUF, maana moja ya tatizo la uchaguzi ni kuwa kuna wajumbe walikuwa wanashabikia vyama. Wakamatwe hawa haraka sana

Na kuna mawakala ya CCM hasa mwenyekiti wa ZEC, naye anafuata maelekezo ya chama mbali ya huo ushabiki! Yeye kwakuwa ni chama chetu, asikamatwe aongezewe ulinzi!
 
Nadhani hawa ndiyo mawakala wa CUF, maana moja ya tatizo la uchaguzi ni kuwa kuna wajumbe walikuwa wanashabikia vyama. Wakamatwe hawa haraka sana

Aibu imewapata naona namba mumeisoma wenyewe, mtaimbo umeganda yale magari yenu mliokuwa mukipita eti mwaka huu tutaisoma namba naona imesoma kwenu namba.

mumetia kwapani lakini hamuna namna mtaitema tuu.
 
Back
Top Bottom