Suluhisho stahiki la kila anayechukua rushwa ni kumpeleka mahakamani ili ikithibitika afungwe. Kisingizio kwamba mishahara ni midogo hakitoshi kwa sababu hata wanaopata mishahara mikubwa sana wanachukua rushwa.rushwa ni mbaya pia ni adui wa haki!
najua jamaa kibarua kitaota nyasi, sijui familia yake itakula nini! japo watanzania siku hizi wanafurahi sana wakiona mtumishi wa umma kapata matatizo kama haya (kutumbuliwa)
nafikiri tufikiri zaidi kwanini mtumishi wa umma anachukua rushwa,je mishaara midogo,ukosefu wa maadili ? tuje na suluhu ya tatizo hili la rushwa.
MISHAHARA YA LAKI MBILI HAPO HAPO UOE HAPO HAPO USAIDIE WAZAZI WAKO ????? PUMBAVU,WAO WANAJILIPA MAMILIONI KWA MWEZI
Unaposema mshahara mdogo. unamaanisha pesa ngapi?rushwa ni mbaya pia ni adui wa haki!
najua jamaa kibarua kitaota nyasi, sijui familia yake itakula nini! japo watanzania siku hizi wanafurahi sana wakiona mtumishi wa umma kapata matatizo kama haya (kutumbuliwa)
nafikiri tufikiri zaidi kwanini mtumishi wa umma anachukua rushwa,je mishaara midogo,ukosefu wa maadili ? tuje na suluhu ya tatizo hili la rushwa.
Hili swala mshahara hautoshi ni wimbo wa taifa zima aiseeee.....MISHAHARA YA LAKI MBILI HAPO HAPO UOE HAPO HAPO USAIDIE WAZAZI WAKO ????? PUMBAVU,WAO WANAJILIPA MAMILIONI KWA MWEZI
Kutoa ama kupokea rushwa ni kosa kisheriainakuwaje pale bodaboda au dereva wa gari amekamatwa kwa kosa la faini ya sh50000 alafu akajitetea kwakutoa sh15000. je hapo wote watakuwa na makosa?.
wote pale wanamakosaKutoa ama kupokea rushwa ni kosa kisheria![]()
suluhisho stahiki ni kila anaye toa na anayechukua rushwa wote wakamatweSuluhisho stahiki la kila anayechukua rushwa ni kumpeleka mahakamani ili ikithibitika afungwe. Kisingizio kwamba mishahara ni midogo hakitoshi kwa sababu hata wanaopata mishahara mikubwa sana wanachukua rushwa.
Halafu wauze na wakiulizwa na wenye magari waseme hawajui maana magari yalipelekwa hivyo hivyo. Wamepewa ruhsa na mkuu wao kwanini wawe na wasiwasiWameambiwa watoe matairi
Mzee na wewe traffic nini?Hakuna ushahidi wa kupokea rushwa hapo, ni chuki au visa vya hao walio rekodi