Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

Umechambua vyema mkuu, tena kuna sehemu ni vichekesho tosha mf. kwenye insects. Duh! Kama ni China hawa waandshi ni kunyongwa hadharani!

Lakini na ww umekosea baadhi ya sehemu, mf. Unapouulza "hii itakuwa ni sentence kweli?" Jibu ni ndio kwani kuna aina nyingi tu za sentence. Kingne ni neno PRACTICE, sijajua utata wake hapo kwani ni sawa na limetumika kama kitenzi.
 
Kwanza naomba kuuliza hivyo vitabu vinakuja na audio ta kusikiliza?

Pia ni maneno yako hayo au ya gazetini?

Kuna masahihisho pia kusaidia hata mwanafunzi akisoma gazeti ajue lipi ni lipi?
Wewe na waandishi wa hicho kitabu hamna tofauti.
Na umekimbilia kuuliza maswali yenye lengo la kufukia makosa yaliyopo.
Soma tena mada kisha urudi ukiwa umejipanga vema.
 
Wewe na waandishi wa hicho kitabu hamna tofauti.
Na umekimbilia kuuliza maswali yenye lengo la kufukia makosa yaliyopo.
Soma tena mada kisha urudi ukiwa umejipanga vema.

Ungekuwa unajua kutumia akili yako na kufikiria nje ta box, usingekurupuka kuni quote....jisikitikie kabisaaaaaa. Hauna lolote
 
Ungekuwa unajua kutumia akili yako na kufikiria nje ta box, usingekurupuka kuni quote....jisikitikie kabisaaaaaa. Hauna lolote
Ha ha ha sina lolote mie....nashukuru.

Heri yako wewe mwenye "akili" na "lolote" uliyeshindwa kung'amua kama mleta mada kayatoa mambo haya toka gazetini au kwenye kitabu halisi.

Ha ha ha.
 
Ha ha ha sina lolote mie....nashukuru.

Heri yako wewe mwenye "akili" na "lolote" uliyeshindwa kung'amua kama mleta mada kayatoa mambo haya toka gazetini au kwenye kitabu halisi.

Ha ha ha.


Eeeeeh kwa hiyo wewe umeona makosa yao ni hayo tu uliyosubiri mleta mada aonyeshe, huoni mengine mengi..ha ha haaaaaaa

Jisikitikie

Mie nimesoma vya akina Roza hivyo someni ninyi.
 
Eeeeeh kwa hiyo wewe umeona makosa yao ni hayo tu uliyosubiri mleta mada aonyeshe, huoni mengine mengi..ha ha haaaaaaa

Jisikitikie

Mie nimesoma vya akina Roza hivyo someni ninyi.
Ndo unazidi kujifunua upuuzi wako.
Endelea tu weye uturi.
Kwani nani hakusoma vitabu vya Juma na Rosa.
Ha ha ha karibu utahamia kwenye Kuli, Things fall apart, No longer at ease, The river between...
Njoo tu mama na ujuaji wako.
Hizi ni mada za elimu sio zile ulizozoea na mabishano na miropoko ya kisiasa.
 
Tangu 2014 miss chagga wanahangaika na kazi hii. Na hapa walishatoa vitabu vikaonekana vibovu wakachoma moto na kuanza upya.
Hawatumii watu sahihi kupata matokeo sahihi.
Hao watu wa TIE wana adapt materials materials hawadevelop na hawawashirishi walimu wa madarasa husika ktk kuandaa vitab. Sasa wanakosa kazi na huku mtaani pa gumu vibaya.
 
Ndo unazidi kujifunua upuuzi wako.
Endelea tu weye uturi.
Kwani nani hakusoma vitabu vya Juma na Rosa.
Ha ha ha karibu utahamia kwenye Kuli, Things fall apart, No longer at ease, The river between...
Njoo tu mama na ujuaji wako.
Hizi ni mada za elimu sio zile ulizozoea na mabishano na miropoko ya kisiasa.

Unafikiri sijakunoti kwenye siasa!!! wewe mwana siasa mimi naandika kama mwananchi..hivyo ulivyotaja kwa kiingereza nililamba herufi ya kwanza bila kuweweseka ilikuwa lainiiiiiiiiiiiiiii eeeeeh

Humu ni JF kila mtu na lake acha tusome kuyajua na pia kuburudika.... ha ha haaa niache mimi napitaaaaaaaa

Nakuacha na usiasa uliokujaa ukiandika ya kufunza siasa ni tag nisome.

Hapa waliohusika kazi zao zileeeeeee wanaziaga au Waziri kabadilisha mawazo?

Baadae mwana CCM.
 
Who whole panel should be terminated.... This is pure idiocy....ndo mana wazazi wanaopt for private primary schools
 
Unafikiri sijakunoti kwenye siasa!!! wewe mwana siasa mimi naandika kama mwananchi..hivyo ulivyotaja kwa kiingereza nililamba herufi ya kwanza bila kuweweseka ilikuwa lainiiiiiiiiiiiiiii eeeeeh

Humu ni JF kila mtu na lake acha tusome kuyajua na pia kuburudika.... ha ha haaa niache mimi napitaaaaaaaa

Nakuacha na usiasa uliokujaa ukiandika ya kufunza siasa ni tag nisome.

Hapa waliohusika kazi zao zileeeeeee wanaziaga au Waziri kabadilisha mawazo?

Baadae mwana CCM.
Du!
Hadi unatia huruma.
Rudi kwenye mada basi.
 
Mlete mada kukosoa pekee haitoshi, ulipaswa wewe uoneshe ipi njia sahihi ilivyotakiwa badala ya kukosoa tu bila wewe kutoa majibu, vinginevyo ukosoaji wako hutakuwa tofauti na huyo anayekosolewa.
Mkuu mleta mada yupo sahihi kukosoa. Hao jamaa wanacheza na elimu yetu vibaya. Hao wa darasa la tatu wanajifunza KKK lugha ya kingerza kama somo wanakutana nayo std three. Sasa ndo wanakutana na madudu kama hayo. Hiyo ni sawa kweli?
Walikuwa na muda wa kutosha wa kufanya pilot au action research.
 
Du!
Hadi unatia huruma.
Rudi kwenye mada basi.

Ha ha haaaaa
Eti huruma nimekuomba msaada!!!
Umeonyesha kutafuta pa kutokea unashindwa kukubali kushindwa...

Haya

Sasa wewe ysikimbie pia kama wengine...
Andika makosa ya humo zaidi ya hayo aliyochambua mleta mada..na mengine unaweza yaweka sawa kivingine kidogo as inaruhusiwa.

Sawa A+++ student, nasubiri utufundishe wengine na mimi tujue hata makosa ya hayo juu....
 
Umechambua vizuri sana makosa mbalimbali mwalimu, sasa toa na ushauri kwa serikali inunue na kusambaza vitabu bora vilivyopata ithibati ya EMAC kuondoa upungufu shuleni kwa ufaulu bora wa wanafunzi.
Asante Papaa. Nilishatoa mapendekezo yangu kwenye thread zangu zingine ambazo nilizitoa juu ya vitabu vingine. Maana hii si ya kwanza.
 
kiukweli waboreshaji wa mitaala ni wengi ,ninachoona hapo ni kwamba hawa watu wa TET wamejiona wao ndo kila kitu,hawataki kushauriwa,inabidi vitabu kama hivyo kwa mara ya kwanza baada ya kuandaa script wanatakiwa wawatumie waboreshaji wenzao wa mitaala kupima usahihi kwa maana kuwahusisha wazazi,walimu,NGOs,wanasiasa, nk hawa ndo wanaopima uhalalali wa mtaala na ufanisi utakavyo kuwa baada ya kuhitimu hatua husika, wapimaji wa mwisho wa mtaala unaotumika pia ni hawahawa wazazi,waajiri,NGOs, na wanasiasa ,. Kosa kubwa lingine ambalo binafsi nimelingundua ni umimi baina ya waandaji wa vitabu hivyo vya kiada wewe unajijua kuwa kiingereza kwako kilipanda ndege kwanini usiwatumie wataalamu wafanye editing japo wewe ni mtaalamu wa contet, ni hasara kubwa kwa taifa.
 
Watu wengi wamesoma makala kwenye gazeti la The Guardian la tarehe 14-05-2017 kuhusu kitabu cha Kiingereza darasa la 3 cha TET na utani wao unaoendelea hivi sasa kwamba Dodoma ni “big city” ya Tanzania (badala ya “Capital city). Naamini wengi hawajajua matatizo na vichekesho vingine lukuki vilivyomo ndani ya kitabu hicho.

Acha nikumegee KIDOGO:

1. Uk 1 – Kuna maneno “Listen to the words and practice to pronounce them”. Neno “practice” ni makosa. Tanzania tunafundisha British English. Neno hili halifai hapa. Kosa hili lipo karibu kwenye kurasa ZOTE za kitabu.
2. Uk 13 – anayeongea hapa ni Furaha. Inakuwaje chini uweke daughter, son, baby wakati msemaji ni Furaha?
3. Uk 17 – Hivi, hizi nazo ni sentensi? “My father and my mother.” ---- “My brother, my young sister and I.” Kwenye jedwali la chini wanasema za kushoto ni sentensi. Ni kweli?
4. Uk 24 – sentensi ya 3 inasema: “She likes washing.” Ukisoma tu unajua haijatimia.
5. Uk 25 – sentensi ya 4 inasema: “He likes riding bicycle.” Hebu soma hii uone kama ni nzuri: “I like reading book.” ---- Basin a ya kwao iko hivyohivyo. Broken English.
6. Uk 28 – Instruction inasema: Complete the sentences (NYINGI) by looking at the picture (MOJA????)
7. Uk 31 – Instruction inasema: Look and speak about the picture. –neno about linaenda na ‘speak”. Hivyo, ukiondoa zoezi la ku-speak (yaani, speak about) kitakachobaki ni “Look the picture”. Unaonaje Kiingereza hicho?
8. Uk 45 – Instruction inasema: Look at the pictures (NYINGI) and complete the word (MOJA????).
9. Uk 50 – Eti, “donkey” ni wild animal?
10. Uk 52 – Kwani hili ndio jina la “kunguru”?
11. Uk 58 – Instruction inasema: “Name the pictures by touching (A) and by pointing (B).---- Kwa hiyo hapo ame-touch A na ku-point B?
12. Uk 59 -60 --- hebu isome habari hii ambayo wanaita “story” kisha uone: (1) kama kweli ni story (2) kama aya ya 1 & 2 zina ushirikiano wowote. Mimi naona ni kama mtu amechukua nguo na vyombo vya jikoni kisha akaweka vyote sandukuni. --- Na kondoo nao wanawaita sheeps. duh!
13. Uk 66-67 -- Instruction inasema: Complete the sentences. ---- hata uki-complete, je, unachopata ni sentensi kweli?
Yaani: A fat cow and a thin cow; A bottle full of water and an empty bottle; Wet clothes and a dry clothes – ni sentensi?? Achilia mbali kwamba ya tatu inasema: a dry clothes!!

14. Uk 69 - Instruction inasema: “Listen and say the colours ….” --- Do we really say colours?
15. Uk 127 – Instruction inasema: Look at the insects: ---- sikujua kuwa siku hizi hata ua na jongoo nao ni insects.
…………………….

Kwa mwendo huu, naona giza mbele ya safari. Nahisi vitabu hivi vinaweza kufaa kufanyia comedy lakini sio kufundishia watu watakaopeleka taifa letu mbele kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia.
Kama wahusika wa wizara wanasikia, walimu tunataabika shuleni vitabu hakuna wakati tulisikia kwa wachapishaji binafsi walishahakikiwa na kupata ithibati. Serikali wanunue hivyo ili tuendelee kufundishia kwa kuwa TET wameshindwa. Elimu mbona mnaizika?
 
Back
Top Bottom