MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,639
- Thread starter
- #41
le super libilionea
Hahaaa! Wa mwisho ni libilionea!
Hahaaa! Wa mwisho ni libilionea!
Hahahahaaaa huu uzi nimecheka sana.
Ruttashobolwa njoo huku.
HahahahahaaaaHahahahaaa!
Nafawaazz u know...!
Guys! Fuatilieni maisha yenu...nimeishi abroad for more than 30 yrs..na Nina degree tatu ! Experience niliyonayo ya maisha hamuifikii hata robo ! I hustle on my own....am living a life I want at my own cost...u know..
Wengi hapa mnanuka vikwapa tuu na umasikini mkubwa....hhahaaaaa! U know ....
So live your lives guys! Msimfuatilie Le akili kubwazzzzz.....
Le mutuz
Lol, naona umempatia haswa. Ha ha haaaaaHahahahaaa!
Nafawaazz u know...!
Guys! Fuatilieni maisha yenu...nimeishi abroad for more than 30 yrs..na Nina degree tatu ! Experience niliyonayo ya maisha hamuifikii hata robo ! I hustle on my own....am living a life I want at my own cost...u know..
Wengi hapa mnanuka vikwapa tuu na umasikini mkubwa....hhahaaaaa! U know ....
So live your lives guys! Msimfuatilie Le akili kubwazzzzz.....
Le mutuz
Lol, naona umempatia haswa. Ha ha haaaaa
Lols.Hahahaaa! U know ni back to back downtown ....
Le usiku mwemazzzz
Yani Huyo jamaa anavyojua kujipendekeza kwa watu wenye pesa akiwa kwa Mosha anaoshaga hadi vyombo vya chakulaApo yupo kama nyoka anaweza akatumwa sigara akafata fasta na ubonge wake
le gud nite ,si unajua bedroom yangu na sitting room yangu ni 1 minute,back to backLols.
Le gud naitiz