Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,262
- 10,235
Uyu Seven anatakiwa afanye mabadiliko makubwa ili aende na kasi ya music industry kuna mengi yanaendelea zaidi ya kufanya muziki nzuri ana tatizo la kufuata kanuni za management wakati kwa sasa wendawazimu wanatumia fitina ku-penatrate kwenye soko angalia Seven na Rockstar4000 wanavyoshindwa kufanya kile kinachotakiwa kufanywa kupitia Ali Kiba pamoja na ubora wa msanii wao kila kitu wanasubiri kifanywe kama ratiba inavyosema kama ukivyosema tusubiri muda utaongea,nimtakie Jide heri kwenye ujio mpya maana akina dada kwa kweli bado sana kwa hapa kwetu naamini ukongwe utamuongoza vyema.
Jamani Magufuli keshatuambia na kutuonyesha..short cut hailipi..... Inaweza kukulipa in a short term: lakini kwa long term haina maslahi. Fuata utaratibu/sheria utafanikiwa. Zama hizi za Magufuli ujanja ujanja haufai.