Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

Penzi la kweli unahakika ndugu..?
Huyo mchaga Kuna asilimia nyingi kafata maokoto huko maana mshikaji ni billionea dada yetu kaacha namuziki kwa visingizio kuwa haulipi na unamgharimu!.. sijui kina ladyjaydee wasemeje!
Hebu acheni jamani, nenda kaangalie interview Vanessa alifanya na Millard Ayo...

Kwa alivyomuongelea Rotimi wanapendana kweli, na mbona maisha yao tu yanajieleza?
 
Hiki sio kitu kizuri kwa watoto, na kwakuwa akili zenu zimekaa kutafuta chokochoko lazima muone mnachokitaka.

Dogo anafanana na mama yake, pua hiyo ya baba yake copy & paste.
Laiti ungeijua personality yangu hiyo Aya ya kwanza ungeifuta!

Wakati nafungua Uzi sikuwa hata najua kama Vanessa na huyo mshikaji Wana watoto wawili na sijui kama waligomea kutoa picha za watoto wao na hata Lile wazo la kusema nitakuwa namashaka na mtoto yoyote!.. baada yakuangalia picha ndio nikaona mfanano kabisa ni ikanijia picha ya mshikaji! Haihitaji jitihada kubwa kuona mfanano jicho lakawaida kabisa linatosha!. But anyway mambo yao ni yakwao sipendi kuchukua muda sana kwenye mambo ya watu kile kiliwe watajua wenyewe ila mwamba ajue anadate na mchaga ..🤣
 
Sasa mimi ndio mpenda muda, mtoto wa mama mkwe anakoma maana ni anasumbuliwa mpaka basi.
Angalia bn nifah usimkabia juu sana! Namuonea huruma jamaaa Aisee🤔iliwahi nikutaga hyo mdada ananchatisha insta dm, telegram, watsup na normal text afu kote mada tofauti na hyo haihusiani na ratiba za kukutana naye kupata quality time
 
Penzi la kweli unahakika ndugu..?
Huyo mchaga Kuna asilimia nyingi kafata maokoto huko maana mshikaji ni billionea dada yetu kaacha namuziki kwa visingizio kuwa haulipi na unamgharimu!.. sijui kina ladyjaydee wasemeje!
Vanessa ni mpare na si mchaga.Hata kama kafata maokoto ni kila ndoto ya mwanamke kuwa na mwanaume mwenye kipato, cha kueleweka na sio kuunga unga. Na amani ya moyo ndo kila kitu we mwenyewe unajionea tu kwa macho Vanessa wa Jux na Rotimi ni watu wawili tofauti.Acha ajilie vyake ni mda wake vingine vyote ni majaaliwa.
 
Laiti ungeijua personality yangu hiyo Aya ya kwanza ungeifuta!

Wakati nafungua Uzi sikuwa hata najua kama Vanessa na huyo mshikaji Wana watoto wawili na sijui kama waligomea kutoa picha za watoto wao na hata Lile wazo la kusema nitakuwa namashaka na mtoto yoyote!.. baada yakuangalia picha ndio nikaona mfanano kabisa ni ikanijia picha ya mshikaji! Haihitaji jitihada kubwa kuona mfanano jicho lakawaida kabisa linatosha!. But anyway mambo yao ni yakwao sipendi kuchukua muda sana kwenye mambo ya watu kile kiliwe watajua wenyewe ila mwamba ajue anadate na mchaga ..🤣
Wala sijasema wewe ni mtu mbaya, lah!

Hukuwa ukijua sawa, lakini ujue ukisikia tu Vanessa tena ktk mahusiano unapata picha yake na Jux, hivyo hata ukiwatizama watoto picha iliyoko akilini inahamia kwao.

Wala sio wewe tu, huko instagram kumechafuka maoni hayohayo.
 
Angalia bn nifah usimkabia juu sana! Namuonea huruma jamaaa Aisee🤔iliwahi nikutaga hyo mdada ananchatisha insta dm, telegram, watsup na normal text afu kote mada tofauti na hyo haihusiani na ratiba za kukutana naye kupata quality time
🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sanaaaaaa.

Ulichopitia huwa anakipitia, kuna siku anakutanaga na hadi PM 7 halafu mada tofauti.
Sema mi nae ni team kuchat hivyo tunaenda sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom