Vanessa Mdee akamatwa na Polisi Dar kwa tuhuma za Madawa ya Kulevya

Ila Paul makonda hii laana itamuandama tu wauza unga wanaacha wanatajwa watu we nye utajiri na wanaosafiri mara kwa mara kwenda nje
 
Ila Paul makonda hii laana itamuandama tu wauza unga wanaacha wanatajwa watu we nye utajiri na wanaosafiri mara kwa mara kwenda nje


Makonda ni k!laza hajui mambo ya uchunguzi wala upelelezi. Sugu kasema anatafuta sifa kwa demu wake tu
 
Msanii wa kizazi kipya, Vanessa mdee amekamatwa na polisi leo mchana, hata hivyo sababu ya kukamatwa kwake bado haijajulikana.

=====

MSANII VANESSA MDEE AKAMATWA NA POLISI JIJINI DAR
IMG-20170308-WA0000.jpg

Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limemshikilia Mwanamziki Vanessa Mdee maarufu kama Vee Money kwa tuhuma za kujihusisha na dawa za kulevya.

Mwanasheria wake, Aman Tenga ametihibitisha kuwa mteja wake amejisalimisha mwenyewe Kituo Kikuu cha Polisi, kama ilivyoagizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati akitaja majina ya wanaojihusisha biashara hiyo pamoja na watumiaji mapema mwezi uliopita.

Mwanasheria Tenga pia ametihibitisha kuwa Vanessa alikuwa Afrika Kusini kikazi wakati jina lake likitajwa na Mkuu wa Mkoa. Pia aliongeza kuwa Polisi walikwenda Nyumbani kwa Vanessa kufanya upekuzi kabla ya kumpeleka kwa Mkemia Mkuu wa serikali kwa uchunguzi zaidi.

Vanessa Mdee ni Mtanzania wa kwanza kuwa mtangazaji wa MTV VJ, Mdee, alizaliwa mwaka 1988 Arusha, alianza kufahamika zaidi mara baada ya kutangaza kwenye Redio na Luninga kwenye vipindi kama Epic Bongo Star Search na Dume Challenge na baadae kidogo wakati ananza kujikita kwenye muziki alikuwa chini ya Lebo B'hitts.
423a7eb3ab5e0dc98fc23a6a429bd9aa.jpg
 
Makonda ni k!laza hajui mambo ya uchunguzi wala upelelezi. Sugu kasema anatafuta sifa kwa demu wake tu
Anachafua watu bila ushahidi halafu alivyo kilaza majina ameandika kwa mkono
Kweli lilia bahati usililie vyeti
Ndo maana swala la kufanya vibaya mkoa wa dar amekaa kimya na anavyopenda sifa ingekuwa vyeti anavyo angeshaweka zamani Mr misifa
 
Back
Top Bottom