Valentine day ya upweke

Umeshampata huyo wakukupa company ili mimi nijikalie pembeni, maana majanaume mengi ya humu yataanza questioning zisizo na sababu badala ya ku-pick the ball and run
As you said
 
Huwa sizungumzii uvunguni wewe weka mambo hadharani kama kweli unajiamini
Haaaaaaa kumbe hauko serious unataka tuweke hapa location afu wadau waiibukie show si itakua public????? If all applicants are selected then am not interested
 
Wandugu kama mjuavyo Leo ni siku maalum ya wanaopendanao.

Kwangu mm ni siku ya upweke kwa kuwa baba watoto aliitwa na makonda mpaka Leo hajarudi.

Nahitaji company kwa mwanaume yyte ambaye hana mpenzi Leo, na hii ni kwa Leo tu.


Karibu kwa aliye tayari
Pole mkuu.
 
Back
Top Bottom