Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 48,840
- 150,520
Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African).
Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya?
1.Yanga anacheza kombe jepesi la loser(tunawsubiri tuone wao watafika wapi safari hii)
2. Timu bora ziko Champions league
3. Yanga wanatumia majini
4. Timu zinazodhaminiwa na GSM zinatumika kuibeba Yanga
5. GSM ananuna marefa
6. Yanga inabebwa na serikali
6.Yanga ina wazee(msimu uliopita sijui walikuwa vijana) na mengine mengi.
Safari hii tena wamekuja na kibwagizo kipya: "Yanga wanajidunga"
Niwaambie tu, mwisho wa siku wakija kuwaambia wao bado wanatafuta "muunganiko", msije kuwashanga kwani wao soka yao imehamia mdomoni na kwenye vijiwe vya kahawa.
Tunzeni huu uzi, mtautumia sana kama reference katika siku zijazo.
Time will tell.