Uzinduzi wa taasisi mpya itakayosimamia elimu ya dini ya kiislamu mashuleni

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,204
7,230
Kutoka Ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam

Ni (TISTA) "TANZANIA ISLAMIC STUDIES TEACHING ASSOCIATION"

Taarifa kwa hisani ya Dr Harithi Nkussa
(Mwandishi maalumu wa Mufti)

Hatimaye Uzinduzi wa chombo hicho kipya umefanyika leo (jana) Adhuhuri Alhamisi 30.11.2023 Ukumbi wa Mfalme Mohammed VI Bakwata Makao Makuu Kinondoni.

Chombo hicho kinachoshirikisha Ofisi ya Mufti wa Tanzania, Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar na Taasisi zote za kiislamu za Tanzania bara na visiwani kitafanya kazi ambayo huko nyuma ilikuwa inafanywa na " Islamic Education Pannel"

Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa na Katibu Mkuu Bakwata Alhaj Nuhu Jabir Mruma Mbele ya Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Mkenda Viongozi wa Chombo hicho kipya watakuwa kama ifuatavyo:-

VIONGOZI NA WAJU,MBE WA CHOMBO HICHO

VIONGOZI WAKUU:

1. KIONGOZI MKUU:
SHEIKH DR. ABUBAKAR BIN ZUBEIR BIN ALLY, (MUFTI NA SHEIKH MKUU WA TANZANIA.)

KIONGOZI MKUU MWENZA:

2. SHEIKH SALEH OMAR KAAB, (MUFTI MKUU ZANZIBAR)

VIONGOZI WENGINE WATENDAJI

3. Sheikh Mohammed Kassim -- Mwenyekiti Mtendaji
4. Sheikh Sameer Zulfikar -- Makamu M/Kiti Mtendaji – 1
5. Sheikh Mussa Kundecha - Makamu M/Kiti Mtendaji – 2
6. Nuhu Jabiri Mruma -- Katibu Mkuu
7. Sheikh Khalid Ali Mfaume Naibu Katibu Mkuu 1l
8. Mwinyikombo Ayoub - Naibu Katibu Mkuu 2
9. Ally Abdallah Ally - Mweka Hazina
10. Dr. Hamdun Suleiman - Naibu Mweka Hazina
11. Shafii Hussein - Mkurugenzi wa Mitaala
12. Hamis. Mohammed - Naibu Mkurugenzi wa Mitaala 1
13. Mfaume Hamis - Naibu Mkurugenzi wa Mitaala 2
14. Dr. Mohammed Same - Mkurugenzi wa Takwimu
15. Sheikh Mohamed Issa - Naibu Mkurugenzi Takwimu 1
16. Rashid Mohammed - Naibu Mkurugenzi Takwimu 2
17. Sheikh Adam Kaoneka - Mkurugenzi TEHAMA
18. Sheikh Ali Muombwa- Naibu Mkurugenzi TEHAMA 1
19. Said Mangi - Naibu Mkurugenzi TEHAMA 2
20. Sueleiman Daudi - Mratibu Mkuu wa Mafunzo
21. Swabrudin Tabihita - Mratibu Mkuu Msaidizi mafunzo 1
22. Sheikh Ali Salim Khalfan - Mratibu Mkuu Msaidizi mafunzo 2
23. Juma Nhia - Mratibu Mkuu Msaidizi mafunzo 3
24. Khamis Omari - Mratibu Mkuu Msaidizi mafunzo 4
25. Fatuma A. Salim - Mratibu Mkuu Msaidizi - Mafunzo wanawake

WAJUMBE WENGINE

26. Profesa Mustafa Hamza Ngozi
27. Sheikh Ali Kilima -
28. Sheikh Mohammed Iddi
29. Sheikh Muhidin Mkoyogole
30. Sheikh Masoud Masaka
31. Sheikh Hassan Chizenga
32. Sheikh Yusuf Kidago
33. Salumu Seif Rashid
34. Sheikh Abdallah Adam
35. Ali Nassoro

Hafla hiyo Muhimu ilmehudhuriwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mh. Adolf Mkenda, Naibu waziri pamoja na mkurugenzi mkuu taasisi ya Elimu ya Taifa.

Wengine waliohudhuria nyeti ni Pamoja na Mufti wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir, Mufti Mkuu wa Zanzibar Saleh Omar Kaab, Katibu Mkuu wa Bakwata Alhaj Nuhu Jabir Mruma, Naibu katibu Mkuu Bakwata - Utawala na fedha Alhaj Mwenda Mwenda, Naibu Kadhi mkuu na Mjumbe Baraza La Ulamaa sheikh Ali Mgeruko, Makatibu wa Mufti wa Tanzania na yule wa Mufti wa Zanzibar, Amiri wa Shura ya Maimamu na Baraza Kuu la Jumuia na Taasisi za Kiislamu Alhaj Sheikh Kundecha, Katibu wa Hayat Kibaaril Ulamaa Dr. Ibrahim Ghulam na masheikh na viongozi wengine kutoka taasisi mbalimbali.

1701441397831.jpg
1701441382987.jpg
 
Serikali, hima kuweni makini sana..

Mpaka sasa kuna masomo ya Elimu ya dini ya Kiislamu pamoja na Bible Knowledge. Yanasimamiwa na kuratibiwa bila chombo chochote cha dini kuingia katika mfumo wa ufundishaji na hata mitihani.

Tunatengeneza bomu kuwaruhusu wafia dini katika mfumo rasmi wa elimu katika nchi yetu, specifically Waislamu.

Elimu ya Kiislamu imejaa upotoshaji, kuwajaza waumini imani za kipumbavu za mabikra 72 akhera na mifereji isiyokata ya pombe, kwa kile kinachoitwa KUIPIGANIA DINI YA ALLAH.

Nchi nyingi duniani, zikiwemo zile za Waislamu wenyewe (achana na hawa waislamu machicha) yanaanza kuondokana kabisa na maswala ya elimu ya dini hiyo, Qatar na Saudia zikiwa mfano.

Taifa linalowaza kuwadhuru wengine ili kuwahi ahadi za kipuuzi, ni taifa linaloongozwa na matamanio ya ngono pekee.

Tuwaache wabakie huko huko Madrasa, ila si kuwaingiza katika mfumo rasmi.

BAKWATA inatosha, ifanye kazi hiyo.

Mkenda, chunga sana. Shauri yako.
 
Serikali haina dini,kuanza kutengeneza taasisi za kusimamia elimu za kidini ndani ya serikali ni kuanza kuingiza udini ndani ya nchi,

Ombi masomo ya kidini yaondolewe mashuleni yabaki chini ya taasisi husika za kidini.

Kidogo kidogo nchi mnaitumbukiza shimoni bila kujua ama kwa kujua ila mnapuuzia.
 
shule zipi sasa? hizo saint...zilizojengwa na wakatoliki? au hizo za watu binafsi, au hizo seminari zenu tu au hizo za kayumba peke yake? yaani mimi kwa pesa yangu nijenge shule ya watoto kibiashara, watu wa dini mbalimbali walete watoto wao pale, alafu mtu aje aniambie dini ya kiislam ifundishwe kwenye shule yangu? au wana lenga nini? mimi sitaruhusu. kwangu ukija utafundishwa Biblia ama la nenda kwenye shule za dini yako.
 
masomo yenyewe ya kidini yanafundishwa kayumba huko, ila shule binafsi au shule za kanisa hakuna upuuzi huo. mimi sio mkatoliki, ila watoto wangu wanasoma shule za kikatoliki na wanasalishwa salamu maria kama kawaida. watavumilia hadi wamalize ndio au wakiwa likizo ndio waendelee na maisha mengine. na sina shida na hilo. najaribu tu kuangalia ni shule gani ya kikatoliki itafundisha uislam.
 
shule zipi sasa? hizo saint...zilizojengwa na wakatoliki? au hizo za watu binafsi, au hizo seminari zenu tu au hizo za kayumba peke yake? yaani mimi kwa pesa yangu nijenge shule ya watoto kibiashara, watu wa dini mbalimbali walete watoto wao pale, alafu mtu aje aniambie dini ya kiislam ifundishwe kwenye shule yangu? au wana lenga nini? mimi sitaruhusu. kwangu ukija utafundishwa Biblia ama la nenda kwenye shule za dini yako.
Duh,mbona huwapi wenye imani nyingine nao wasome dini yao
Zipo shule za kikristo somo la dini zingine zinakuwepo
mkuu inaelekea ukiwa na shule yako hata akiwepo FaizaFoxy atasoma tu biblia

Ova
 
shida ni kwamba, ninaamini kabisa kwamba imani wanayoifundisha sio sahihi kwa mwanadamu. hata hivyo ninaheshimu imani yao kama watafanyia kwenye mazingira yao. sio mazingira yangu. siwezi kugarimia imani nisiyoiamini.
 
Serikali, hima kuweni makini sana..

Mpaka sasa kuna masomo ya Elimu ya dini ya Kiislamu pamoja na Bible Knowledge. Yanasimamiwa na kuratibiwa bila chombo chochote cha dini kuingia katika mfumo wa ufundishaji na hata mitihani.

Tunatengeneza bomu kuwaruhusu wafia dini katika mfumo rasmi wa elimu katika nchi yetu, specifically Waislamu.

Elimu ya Kiislamu imejaa upotoshaji, kuwajaza waumini imani za kipumbavu za mabikra 72 akhera na mifereji isiyokata ya pombe, kwa kile kinachoitwa KUIPIGANIA DINI YA ALLAH.

Nchi nyingi duniani, zikiwemo zile za Waislamu wenyewe (achana na hawa waislamu machicha) yanaanza kuondokana kabisa na maswala ya elimu ya dini hiyo, Qatar na Saudia zikiwa mfano.

Taifa linalowaza kuwadhuru wengine ili kuwahi ahadi za kipuuzi, ni taifa linaloongozwa na matamanio ya ngono pekee.

Tuwaache wabakie huko huko Madrasa, ila si kuwaingiza katika mfumo rasmi.

BAKWATA inatosha, ifanye kazi hiyo.

Mkenda, chunga sana. Shauri yako.
Una chuki mbaya sana
 
Nchi hii huwa kuna mambo mengine yanafanyika mpaka yanatia mashaka sana uwezo wa kureason wa viongozi wetu.

Mfumo wa elimu haupaswi hata kidogo kuingiliana na mfumo wa elimu za dini na kusiwepo taasisi za dini kuratibu mafunzo.

Itatuletea shida huko baadae na itakuwa too late.
 
Kutoka Ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam

Ni (TISTA) "TANZANIA ISLAMIC STUDIES TEACHING ASSOCIATION"

Taarifa kwa hisani ya Dr Harithi Nkussa
(Mwandishi maalumu wa Mufti)

Hatimaye Uzinduzi wa chombo hicho kipya umefanyika leo (jana) Adhuhuri Alhamisi 30.11.2023 Ukumbi wa Mfalme Mohammed VI Bakwata Makao Makuu Kinondoni.

Chombo hicho kinachoshirikisha Ofisi ya Mufti wa Tanzania, Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar na Taasisi zote za kiislamu za Tanzania bara na visiwani kitafanya kazi ambayo huko nyuma ilikuwa inafanywa na " Islamic Education Pannel"

Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa na Katibu Mkuu Bakwata Alhaj Nuhu Jabir Mruma Mbele ya Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Mkenda Viongozi wa Chombo hicho kipya watakuwa kama ifuatavyo:-

VIONGOZI NA WAJU,MBE WA CHOMBO HICHO

VIONGOZI WAKUU:

1. KIONGOZI MKUU:
SHEIKH DR. ABUBAKAR BIN ZUBEIR BIN ALLY, (MUFTI NA SHEIKH MKUU WA TANZANIA.)

KIONGOZI MKUU MWENZA:

2. SHEIKH SALEH OMAR KAAB, (MUFTI MKUU ZANZIBAR)

VIONGOZI WENGINE WATENDAJI

3. Sheikh Mohammed Kassim -- Mwenyekiti Mtendaji
4. Sheikh Sameer Zulfikar -- Makamu M/Kiti Mtendaji – 1
5. Sheikh Mussa Kundecha - Makamu M/Kiti Mtendaji – 2
6. Nuhu Jabiri Mruma -- Katibu Mkuu
7. Sheikh Khalid Ali Mfaume Naibu Katibu Mkuu 1l
8. Mwinyikombo Ayoub - Naibu Katibu Mkuu 2
9. Ally Abdallah Ally - Mweka Hazina
10. Dr. Hamdun Suleiman - Naibu Mweka Hazina
11. Shafii Hussein - Mkurugenzi wa Mitaala
12. Hamis. Mohammed - Naibu Mkurugenzi wa Mitaala 1
13. Mfaume Hamis - Naibu Mkurugenzi wa Mitaala 2
14. Dr. Mohammed Same - Mkurugenzi wa Takwimu
15. Sheikh Mohamed Issa - Naibu Mkurugenzi Takwimu 1
16. Rashid Mohammed - Naibu Mkurugenzi Takwimu 2
17. Sheikh Adam Kaoneka - Mkurugenzi TEHAMA
18. Sheikh Ali Muombwa- Naibu Mkurugenzi TEHAMA 1
19. Said Mangi - Naibu Mkurugenzi TEHAMA 2
20. Sueleiman Daudi - Mratibu Mkuu wa Mafunzo
21. Swabrudin Tabihita - Mratibu Mkuu Msaidizi mafunzo 1
22. Sheikh Ali Salim Khalfan - Mratibu Mkuu Msaidizi mafunzo 2
23. Juma Nhia - Mratibu Mkuu Msaidizi mafunzo 3
24. Khamis Omari - Mratibu Mkuu Msaidizi mafunzo 4
25. Fatuma A. Salim - Mratibu Mkuu Msaidizi - Mafunzo wanawake

WAJUMBE WENGINE

26. Profesa Mustafa Hamza Ngozi
27. Sheikh Ali Kilima -
28. Sheikh Mohammed Iddi
29. Sheikh Muhidin Mkoyogole
30. Sheikh Masoud Masaka
31. Sheikh Hassan Chizenga
32. Sheikh Yusuf Kidago
33. Salumu Seif Rashid
34. Sheikh Abdallah Adam
35. Ali Nassoro

Hafla hiyo Muhimu ilmehudhuriwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mh. Adolf Mkenda, Naibu waziri pamoja na mkurugenzi mkuu taasisi ya Elimu ya Taifa.

Wengine waliohudhuria nyeti ni Pamoja na Mufti wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir, Mufti Mkuu wa Zanzibar Saleh Omar Kaab, Katibu Mkuu wa Bakwata Alhaj Nuhu Jabir Mruma, Naibu katibu Mkuu Bakwata - Utawala na fedha Alhaj Mwenda Mwenda, Naibu Kadhi mkuu na Mjumbe Baraza La Ulamaa sheikh Ali Mgeruko, Makatibu wa Mufti wa Tanzania na yule wa Mufti wa Zanzibar, Amiri wa Shura ya Maimamu na Baraza Kuu la Jumuia na Taasisi za Kiislamu Alhaj Sheikh Kundecha, Katibu wa Hayat Kibaaril Ulamaa Dr. Ibrahim Ghulam na masheikh na viongozi wengine kutoka taasisi mbalimbali.

View attachment 2830562View attachment 2830563
Ngojea mashetani ya kigalatia yaje kutukana hapa
 
Serikali, hima kuweni makini sana..

Mpaka sasa kuna masomo ya Elimu ya dini ya Kiislamu pamoja na Bible Knowledge. Yanasimamiwa na kuratibiwa bila chombo chochote cha dini kuingia katika mfumo wa ufundishaji na hata mitihani.

Tunatengeneza bomu kuwaruhusu wafia dini katika mfumo rasmi wa elimu katika nchi yetu, specifically Waislamu.

Elimu ya Kiislamu imejaa upotoshaji, kuwajaza waumini imani za kipumbavu za mabikra 72 akhera na mifereji isiyokata ya pombe, kwa kile kinachoitwa KUIPIGANIA DINI YA ALLAH.

Nchi nyingi duniani, zikiwemo zile za Waislamu wenyewe (achana na hawa waislamu machicha) yanaanza kuondokana kabisa na maswala ya elimu ya dini hiyo, Qatar na Saudia zikiwa mfano.

Taifa linalowaza kuwadhuru wengine ili kuwahi ahadi za kipuuzi, ni taifa linaloongozwa na matamanio ya ngono pekee.

Tuwaache wabakie huko huko Madrasa, ila si kuwaingiza katika mfumo rasmi.

BAKWATA inatosha, ifanye kazi hiyo.

Mkenda, chunga sana. Shauri yako.
SsSshOga wewe
 
Attachments

  • Screenshot_20231110-122641.png
    Screenshot_20231110-122641.png
    67.7 KB · Views: 5
Ngojea mashetani ya kigalatia yaje kutukana hapa
hawawezi kutukana, kwasababu wanajua elimu hiyo itatolewa shule za kayumba, chache za private, na seminary zake. ila private zilizo nyingi na shule za kikristo hakuna mtu atakubali iyo kitu, though hata wakikubali kwasababu watakuwa wanafundisha watoto wao tu wanaosoma kwenye shule hiyo,kwangu haina madhara. ila na ninyi seminary zenu mruhusu tuje tufundishe watoto wokovu wa Yesu Kristo kama hamtojali.
 
Kwa hiyo hilo swala halipo ni uongo.Na kama ni uongo tukileta vifungu vinavosema hayo ww tukuite kafiri ama.Kwa hiyo mtume Muhamad ni mnafiki hakusema hayo.Bisha nilete kifungu mnafiki ww.
Lete andiko wewe kafiri acha ujanja ujanja. Unioneshe kila muislamu mwanaume akifa anapata bikra 72.
Naona umemezeshwa kama zezeta unafuata mkumbo.
 
Back
Top Bottom