Opener and fire back evil,
Tafuta majani saba ya tumbaku, na vitunguu swaumu saba, saga upate mchanganyiko wake, ogea, kwa siku saba, hakuna ujinga utabaki mwilini mwako, ukiona bado tu, jua kuna mamizimu yanakuandama, kuyakomesha, chukuwa mkojo wako wa asubuhi, changanya na cloves iliyosagwa, kuwe unaweka matope 3,kwenye maji ya kuoga, kwa siku 7, ikiwa bado hapo! Nitaendelea.......
 
Opener and fire back evil,
Tafuta majani saba ya tumbaku, na vitunguu swaumu saba, saga upate mchanganyiko wake, ogea, kwa siku saba, hakuna ujinga utabaki mwilini mwako, ukiona bado tu, jua kuna mamizimu yanakuandama, kuyakomesha, chukuwa mkojo wako wa asubuhi, changanya na cloves iliyosagwa, kuwe unaweka matope 3,kwenye maji ya kuoga, kwa siku 7, ikiwa bado hapo! Nitaendelea.......
Mkuu umeludi hatimae
 
Habari mkuu
Namna ya Kupata mke bora au mume bora umtakae mkuu ?

Crocodiletooth
Piga goti mkuu omba mungu akuonyeshe mke bora, aidha wazazi wako hasa mama, anajua ipi ni familia bora ya kuchukuwa bint yao, tuliopingana na maono ya wazazi chamoto tunakipata!
N. B, binadamu kitabia hubadilika badilika hasa baada ya uzao wa watoto 2.
 
Habari mkuu
Namna ya Kupata mke bora au mume bora umtakae mkuu ?

Crocodiletooth
Chukua apple,kitana kikubwa (chanuo) na kioo kikubwa,usiku saa SITA tafuna apple lako uku unanuia kioo kikuoneshe mke wako wa maisha Kisha chana nywele uku unatafuna apple apo utamuona wife material wa life Yako,utakae muona ndio mkeo uyo,uwe unamjua ama kutomjua
 
Mizizi ya mkunde pori kwa kupata kazi
Umeangaika kutafuta kaz na vyeti unavyo ila
kila ukienda kuomba kaz unajibiwa vibaya
sasa chukua hii tafuta mzizi wa mkunde poli weka kwenye mkoba au mfuko wa nguo yako
vzr ukifka eneo unapo itaj kaz weka mdomon
kisha ongea nae nakwambia kama huna nuks siku iyo iyo unapewa kaz.
IMG-20240723-WA0483.jpg
 
NYOTA YAKO LEO JUMATANO JUL 24/2024:

MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.


★SIMBA LEO

Kuzungumziwa kukosa raha kupanga kutoka yaani kuwa na safari kuachiliwa huru mtu aliekifungoni kujuliwa hali kukosana na mtu maarifa mapya kupatikana na kuyafanyia kazi kukamilika kwa utafiti wako au jambo lako msamaha kuomba au kuombwa kushauriwa na watu.

💕 UPANDE WA MAPENZI

Punguza kilele ndani ya nyumba yako huenda unacho kigombania kikakuletea matatizo katika mahusiano yako ya kimapenzi jambo dogo litakuwa kubwa Kwako ingawa mapenzi yako yamekuwa yakivunjika kila wakati lakini unashauriwa kuondowa fikra za kuishi kwa mazoea.

★MASHUKE

Kusimangwa na kutetwa kuikataa hali kushangaa kwa kitu kurubuni au kurubuniwa kung'ang'ania kitu au jambo maana ndo desturi yako kufanyika kwa malipo kwa wanao fanya kazi za kutumia mashine kutatokea hitilafu usumbufu au uharibifu kupona maradhi.

💕 UPANDE WA MAPENZI

Upande wa mapenzi kusita sita kwako na dharau zako katika kufanya maamuzi unaweza ukajikuta unazama kwenye shimo lenye kiza kinene ukashindwa kujiokowa.

★MIZANI

Kama nyota yako ni Mizani ⚖️ Jumatano hii Utapokea pesa mpaka jumapili kati ya siku hizo moja wapo kutoa ushauri kupata maono ama njozi yenye ujumbe kugundua uwezo wako kuhisi maumivu ya moyo kumuonea huruma mtu.

💕 UPANDE WA MAPENZI

Ingawa huna imani na mwenza wako kutoka na safari zake za mara kwa mara mawazo yako huenda ana mahusiano sehemu nyingine huenda mawazo yako yapo sahihi lakini nivyema ukapunguza kelele kwake na maneno yakero itakusaidia sana.

★NG'E

Kujilaumu kufanyia kazi suala lako kufurahi na mtu kuwa na maongezi ya ucheshi kupata mauzo mengi kwenye biashara yako kupata mualiko wa chakula kufanya matembezi kidogo.

💕 UPANDE WA MAPENZI

Mapenzi kwako wakati mwingine yanakuwa kisu chenye ncha kali kwako nivyema ujitambue ingawa unakuwa mbishi sana kwa washauri wako wa karibu juu ya mahusiano yako ya kimapenzi lakini unashauriwa kuwasikiliza kwani huenda ushauri wao ukakufaa katika kumaliza matatizo yanayo kusibu katika upande wa mapenzi.

★MSHALE

Kuona hali ya kukomolewa au kumkomoa mtu kuhusishwa na tuhuma za uongo na utaweza kulipangua hilo kurudishwa kazini kurudi mahali ulipokuwa unaishi zamani kupata ahadi kuridhishwa katika majukumu yako.

💕 *UPANDE WA MAPENZI.

mapenzi kwa upande wako hayaeleweki kwani maranyingi mapenzi kwako yanakuwa kigeu geu na unakuwa mgumu sana wa kufanya maamuzi sasa jumatano hii na kuendelea unayo fursa kubwa ya kufanya maamuzi sasa ni wakati muafaka kwako usipofanya maamuzi kwasasa itakuchukuwa muda mrefu sana kuja kufanya tena maamuzi. Msimamo ulio nao juu ya mapenzi usimamie huwo huwo utafanikiwa na huenda ukapata mafanikio makubwa.

★MBUZI

Kuchelewa kulala kuwa na harakati nyingi kusimulia tukio kujitenga kuanzisha biashara mpya na yenye faida kusikilizwa kwa umakini kutoka kwenye ugumu wa hali kwa wakati huu.

💕 UPANDE WA MAPENZI

Inawezekana una matatizo kwenye upande wa mapenzi japo inaonyesha wewe ni mtu mwenye mahaba na mapenzi mengi kwa mwenza wako lakini umekuwa hupati faraja ile unayo itarajia kikubwa tafuta chanzo cha matatizo yako katika upande wa mapenzi huenda ukaona afueni na ukapata utulivu usio utarajia.

★NDOO

Kujulishwa hali ya ndugu kuonyeshwa tabasamu na mtu ambae hana ukaribu na hali hiyo kwa watu kusababishiwa Jambo kuhisi jambo.

💕 UPAMDE WA MAPENZI

Subra yako imani yako pamoja nakujiamini kwa mengi yanayo kutesa katika upande wa mapenzi ndio nguzo yako kubwa ingawa unatakiwa ufanye maamuzi yasiokuwa na haraka.

★SAMAKI

Kuhisi kiu mala kwa mala kumpata mshilika wako wa kuanza nae biashara kujulishwa taarifa njema kupokea pesa kumzuia mtu maamuzi yake.

💕 UPANDE WA MAPENZI

Ingawa umekuwa ni mtu mwenye wasi wasi uliojaa khofu na mashaka ndani ya moyo wako lakini hilo sio tatizo kwako kwani mengi unayo yapamga kwemye mahusiano yako ya kimapenzi yataenda sawa.

★PUNDA

Kuliingilia Jambo pasina makubaliano na mtu kupata furaha ya jambo mipango mizuri ipo njiani kutimia endelea kufuatilia na kufanya duwa na visomo kwa wingi mafanikio yapo njiani.

💕 UPANDE WA MAPENZI

Jitahidi kuwa mkweli kwa mwenza wako punguza uwongo zidisha ukweli na nivyema kuhakikisha unatimiza ahadi unazowekeana na mpenzi wako usipofanya hivyo unaweza kulivunja penzi lako.

★NG'OMBE

Kama nyota yako ni ng'ombe 🐄 jumatano hii unaweza kufanyiwa figisu au ubaya kazini kumlaumu mtu kufanya maamuzi kwa hasira maumivu moyoni kuonyesha hujali kitu jioni itakapoingia utakuwa na utulivu na habari njema kukufikia subra inahitajika sana.

💕 UPANDE WA MAPENZI

kutokana na muelekeo wako wa maisha wa kukosa msimamo ingawa pia umekuwa mtu ulietawaliwa na hasira katika upande wa mapenzi lakini unashauriwa usikurupuke kufanya maamuzi.

★MAPACHA

Kuepuka Shari kumuona mtu mjinga wa matendo yake kujikaza na kutohitaji ugonjwa ukuelemee kufanya kazi kwa bidii miguu kuuma kutokea usumbufu kidogo hasa ukiwa nyumbani kwa vurugu au kelele kuwa makini sana.

💕 UPANDE WA MAPENZI

Mpenzi wako unamsubiria aweze kutowa maamuzi ili uweze kujuwa khatma yako baina yako na mpenzi wako unashauriwa kuendelea kusubiri kwani huenda utaona mambo mazuri kutoka kwake kutokana na maamuzi yake.

★KAA

Kupata mapumziko ya muda ,kuwa na maongezi ya siri kupata ushirikiano wa watu kupewa usaidizi mawazo kupungua kuchukua hatua katika jambo lako na kukamilisha mambo uliyoyaanzisha.

💕 UPANDE WA MAPENZI

Uwaminifu na ukweli katika mapenzi ndio vinakufanya ufikie malengo usio yatarajia ingawa changamoto zipo lakini uvumilivu wako na ungwana wako hazitakuwa tatizo kwako.

★★★★★★★★★★★
Kumbuka aliekuletea utabiri wako wa nyota ni mtabiri wako magical power tuonane tena kesho mungu akipenda nawatakieni siku njema wote.

Magical power MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAMU WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.
 
#Wachawi_wanaowanga usiku na dawa yao kuwaona,

Pata kitabu cha uchawi wa zamani kwa lugha rahisi ya kiswahili. Kitabu kipo katika pdf unatumiwa popote kupitia Whatsapp. Gharama ya kitabu ni Tsh 25000.

#Je nitaweza kumuona vipi mchawi".

namna ya kuwaona na kuwabaini wachawi nyakati za usiku, mchana, barabarani, sehemu zenye mikusanyiko ya watu n.k wakiwa katika shughuli zao

Kutokana na kuulizwa sana swali hili tungependa kulijibu kwa kutumia njia hii nyingine ambayo ni rahisi kama zilivyo nyinginezo tulizokwisha elezea.

MAHITAJI
Mzizi wa mturatura
Mzizi wa mgomba wa ndizi
Mzizi wa tarumbeta la wachawi
MAANDALIZI
Nenda katika kila mti uliotajwa hapo juu ukianza na mturatura kisha kwa adabu kabisa nyenyekea na upige goti kisha usemee maneno haya "Wewe mti mungu kakujaza miuzija ya ajabu sana lengo langu nataka kuona wachawi warukao usiku" Kisha chimba mzizi wake na uondoke nao
Nenda katika mti mwingine kisha Fanya hivyo na upate mizizi yake
MATAYARISHO NA MATUMIZI
Changanya pamoja uchome au ukaange hadi upate usila wake.
Tumia usila huo kwa kuchanganya na mawese nyakati za usiku kisha jipake usoni.
Hadi hapo wachawi utakuwa una uwezo wa kuyaona wakiwa wanafanya yao.

Tumia mafuta ya taa kujipaka sehemu mbalimbali za mwili kuhakikisha nguvu zao hazikuathiri ikiwa watagundua.
 
Naambiwa huu mmea unamambo makubwa sana ,mmea huu ukiugusa unajibana majani kama vile hautaki unaitwa touch me not plant ,wabobezi tunaomba faida yake ziko mingi zanzibar na tanga
Screenshot_20240809_085936_PictureThis - Plant Identifier.jpg
 
talasimu hiyo hapo juu uandikwa haswa siku ya jumanne...ukiiweka kwenye biashara ni nzuri sana kwa kuvuta wateja na miongoni mwa talasimu kama hiyo ndio haswa ambazo wafanyabiashara wengi wenye maduka hupewa na dalili moja wapo ya duka lenye kutumia talasimu kuvuta wateja utakuta duka linajaza sana na pengine kuna msululu wa maduka mengine lakini wateja wote hukumbilia kwake kwa kupanga foleni.View attachment 3032837
je tukitoa copy tukaweka hii dukani?
 
Back
Top Bottom