Uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Muziki wa Reggae

King Jody

JF-Expert Member
Oct 8, 2022
1,668
3,144
Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla.

Wasanii wa muziki wa Reggae wapo wengi ila hawa ni baadhi ya wale ninaowakubali;

1. BOB MARLEY
  • No woman no cry
  • Buffalo soldier
  • Rat race
  • One love nk.

2. BURNING SPEAR
  • Identity
  • African teacher
  • Mek we dweet in Dub
  • Slavery days nk.

3. GREGORY ISAACS
  • Night nurse
  • Cool down the place
  • Love is over due.

4. LUCKY DUBE
  • Remember me
  • Together as one
  • Prisoner
  • Back to my roots nk.

5. ALPHA BLONDY
  • Cocody Rock
  • Sweet Fanta Dialo
  • Jerusalem
  • Peace in Liberia
  • Masada nk.

6. UB40
  • Red red wine
  • Cherry oh Baby
  • Please don't let me cry
  • Don't go and leave me alone
  • Bring me your cup.

Unaweza kuongeza wa kwako unaowapenda na nyimbo zao.

Peace n love.
 
Safii hapa uwanja wangu huu..

Kuna Reggae zile za Zamani kuna new Generation pia kuna zile tunaita Dancehall...

Hivi DANCEHALL ni Reggae ryt?
 
Yes ni sehemu ta Reggae Music mkuu
Ok...

UB40 ndio best kwangu kwa oldies wakifatiwa na the Weilers kama kundi.

Generation mpya.. kuna mtu wa kuitwa PROTOJE huyu hana nyimbo mbaya.

Pia Wakina Vershon, Cecilie na Chris Martin hawa wana balaa lao.

Ukija kwenye Dancehall

Kuna SHAGGY, SEAN PAUL , RIHANNNA, BENNIE MAN, na SHABA RANKS.

Nikitulia sasa ntaweka zile ngoma kali kali..
 
Ok...
UB40 ndio best kwangu kwa oldies wakifatiwa na the Weilers kama kundi.

Generation mpya.. kuna mtu wa kuitwa PROTOJE huyu hana nyimbo mbaya.

Pia Wakina Vershon, Cecilie na Chris Martin hawa wana balaa lao.

Ukija kwenye Dancehall

Kuna SHAGGY , SEAN PAUL , RIHANNNA, BENNIE MAN, na SHABA RANKS..

Nikitulia sasa ntaweka zile ngoma kali kali..
Safi sn mkuu, unaonakana we ni msikilizaji mzuri wa Reggae music, muziki wa hisia kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom