Uzi maalum wa picha za round about na junction mbalimbali za mikoa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,966
46,028
Tuonyeshe round about za mahali ulipo. Mimi naipenda sana ile ya Msamvu Moro yenye bibi na bwana na ile ya Singida yenye kuku na alizeti nyingine ndo hii ya mjusi wa Tendeguria Lindi panaitwa fisi.
 
Lindi Tanzania

Screenshot_20240326-191518.png
 
Tuonyeshe round about za mahali ulipo. Mimi naipenda sana ile ya msamvu Moro yenye bibi na bwana na ile ya singida yenye kuku na alizeti nyingine ndo hii ya mjusi wa Tendeguria Lindi panaitwa fisi
Mbona hujaweka hizo unazozipenda?.
 
Tukuonyeshe ili hali wewe mwenyewe haujatuonesha hizo picha zaidi ya maandishi...!!!!

Anyway me naipenda round about ya pale Mwanza samaki samaki, nigeweka picha tatizo nilipiga na mimi nikiwa pale pale 🤒😎
 
Back
Top Bottom