Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,927
- 10,133
Unakuta mtu ni character yake yeye binafsi lkn Uswahili wetu wote unasingiziwa kwamba tabia yake ni kawaida kwa“Waswahili“ yote hii ni kukwepa character flaws zake.
Kuna character ya mtu yeye kama yeye na haina uhusiano na Utamaduni wake, mfano kutokujua au kutokuwa na uwezo wa kujua na kuchuja kipi cha kuongea wapi ni character flaw ya mtu binafsi na ipo Japan, China, Brazili, Ulaya au hata Uswahilini, mtu asiye na character ni kwamba hana character ni yeye binafsi na siyo jamii nzima.
Jamii iheshimiwe na isihusishwe na tabia ya mtu binafsi!