Bull Striker
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 455
- 989
Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi.
Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali.
Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza kufika kilele (Mshindo)
Wanawake wengi wanafanya mapenzi na hawafiki kileleni.
Wanaume wengi kupungua uwezo wakurudia round zaidi ya mbili Kwa fikra zao mbali mbali.
Wanaume 10 basi wa 4 ndo wenye uwezo wa kuunga ama kurudia round pasipo msukumo mbalimbali kama (foreplay),
Ikijumuishwa na wanaume kutongoza na kusimama kama mwanaume pale unapo kuwa mbele ya mwanamke.
Pamoja na yote hayo Northern Country wakaja na solution ya moja Kati ya nyingi Mfano usambazaji wa Sex toys...
Mfano; vibrator Kwa wanawake na wamekuwa wakienda mbali Sana kwakusema open discussion Kwa mapatners nakupeana feelings ikiwa na msukumo wa Ku initiates feeling by applying toys hupelekea stimulation za juu na wote kumfikia Mshindo na Caples Kuremain so strong.
Na ndomaana wakaenda mbali nakuamini Sex is like an art of two partners to relax,enjoy and for brain health.Is importance of sex.
Sex imepungua ikiwa ina uhitajio mkubwa Sana kwenye maisha yetu.
Sex imekuwa Kama bidhaa unaenda Dukani kununua.
Any way swala la elimu na kukubali mabadiliko limekuwa swala gumu Sana.
Mfano;Toys ni moja ya vifaa muhimu katika kukabiliana na swala la kumfikia Mshindo (climax ) kama ilivyo mashine zingine eg AI.
Wengi tunakubali mabadiliko lakini mengine tuna yakataa.
Ni Muda Jamii kutumia akili dhidi ya hii changamoto.
Acha niishie hapa...
Nisomo flan hivi..
Labda niulizie vipi hapa Bongo kwetu ujio na mapokeo ya Toys yakoje...???
Asanteni sana