Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,765
- 1,564
usijifanye kutisha watu huna ushahidi wowote zaid ya chukiTupeni ushahidi ya dau ushahidi upo ni audit report ya 2014/14 sasa mkianza kuchokonoa tutaweka na Picha za nyumba anazomiliki TZ na london
Wewe mbona mdini hivyo? Aliye leta mada hajaongea habari ya dini, ameongelea ufisadi wa PPF, sasa wewe unataka kugeuza mada iwe ya kidini, kisa eti bosi wa NSSF anatuhumiwa kwa udini. Kama unataka watu waongelee udini basi leta tuhuma za bosi wa PPF zinazohusu udini, watu wanaopenda udini kama wewe watajadili.Aachane nazo kwa kigeso gani? Kisa aliyehusika c muislam au??
yaani we acha tu!Nasikia ukiona Estim au Alpha.... ni shida hawa jamaa!
Acha upumbavu wewe, unajua kuwa nchi hii kwa mujibu wa sheria ya ardhi, raia ni wakodishaji tu kwa muda maalum? Sasa kiwanja cha thamani ya Bilioni 17 itapatikanaje? Mseme tu Huyu ni mgalatia mwenzenu angekua Ali, au Ramadhan tayari mngekuwa busy kutaka forensic na leo jioni jipu lingetumbuliwa.Anayejua ukubwa wa eneo lililonunuliwa tafadhali atuambie.
Maake kwa pale eneo tupu hakuna namna litakuwa juu ya 750,000 kwa square metre moja. Hivyo tupewe kwanza ukubwa wa eneo ili tutoe hukumu ya haki.
Acha upumbavu wewe, unajua kuwa nchi hii kwa mujibu wa sheria ya ardhi, raia ni wakodishaji tu kwa muda maalum? Sasa kiwanja cha thamani ya Bilioni 17 itapatikanaje? Mseme tu Huyu ni mgalatia mwenzenu angekua Ali, au Ramadhan tayari mngekuwa busy kutaka forensic na leo jioni jipu lingetumbuliwa.
Ondoa udini, ondoa ukabila na ubinafsi wote na uongee kama alivyofanya mkuu maalon hapa.Hii mifuko ya jamii ni shida wafanya kazi wanakatwa fedha kutoka kwenye mishahara yao kuchangia akiba yao ya uzeeni tangu siku ya kwanza anapoajiriwa lakini wakistaafu miaka 40 baadae malipo ni shida wakati huo wastaafu hao ni wazee hawana namna nyingine ya kupata fedha za kujikimu
Mimi nakaa jirani na hapo waliponunua na wameshaanza kujenga jengo la ghorofa 30.. Kiwanja ni kikubwa tu
hiyo pesa ni saw a kama wameinunua mlimani city mall na viwanja vyake. Lakini kama ni plot ya 40/40 pesa mingi sana
Kama kina MTU anajua ukubwa wa eneo na Kama kweli kiasi hicho cha pesa kimetolewa basi atujuze hapa.Mimi nakaa jirani na hapo waliponunua na wameshaanza kujenga jengo la ghorofa 30.. Kiwanja ni kikubwa tu
sasa na wew et kiwanja kikubwa tu ndio majibu gani ni kikubwa kulingana na kip kina sqm ngap hata kwa makadiro tu ama na wew ni wale wale waleMimi nakaa jirani na hapo waliponunua na wameshaanza kujenga jengo la ghorofa 30.. Kiwanja ni kikubwa tu
Ukitaka kujua sqr metet nenda ardhi ujiridhishe...sasa na wew et kiwanja kikubwa tu ndio majibu gani ni kikubwa kulingana na kip kina sqm ngap hata kwa makadiro tu ama na wew ni wale wale wale
si bora unyamaze tu bwege wewUkitaka kujua sqr metet nenda ardhi ujiridhishe...
Labda unaanzia pale inapoanzia Sam Nujuma Ubungo, wanaparuka TCRA, then wanaendelea tena hadi inapoishia pale Mwenge mataa. Tusubiri aje kutufafanulia.Uwanja una ukubwa gani mkuu?
Ww ndio uwezo wako wa kuelewa mgumu huyo anayelalamika kiwanja kununuliwa kwa dola milioni 8 hajui hata ukubwa wake.si bora unyamaze tu bwege wew
kuliko kuandika usivyo vijua ujui ukubwa ni sifa linganishi
ni sawa na kumuambia mtu umefaulu kombe una Division 4
maana 4 kwaku ndo kufaulu kumbe kuna kufaulu kwa div 1,2..