Uwekezaji: PPF yaendeleza eneo la ekari 5 jijini Dar

Tupeni ushahidi ya dau ushahidi upo ni audit report ya 2014/14 sasa mkianza kuchokonoa tutaweka na Picha za nyumba anazomiliki TZ na london
usijifanye kutisha watu huna ushahidi wowote zaid ya chuki
 
Anayejua ukubwa wa eneo lililonunuliwa tafadhali atuambie.

Maake kwa pale eneo tupu hakuna namna litakuwa juu ya 750,000 kwa square metre moja. Hivyo tupewe kwanza ukubwa wa eneo ili tutoe hukumu ya haki.
 
Aachane nazo kwa kigeso gani? Kisa aliyehusika c muislam au??
Wewe mbona mdini hivyo? Aliye leta mada hajaongea habari ya dini, ameongelea ufisadi wa PPF, sasa wewe unataka kugeuza mada iwe ya kidini, kisa eti bosi wa NSSF anatuhumiwa kwa udini. Kama unataka watu waongelee udini basi leta tuhuma za bosi wa PPF zinazohusu udini, watu wanaopenda udini kama wewe watajadili.
 
Anayejua ukubwa wa eneo lililonunuliwa tafadhali atuambie.

Maake kwa pale eneo tupu hakuna namna litakuwa juu ya 750,000 kwa square metre moja. Hivyo tupewe kwanza ukubwa wa eneo ili tutoe hukumu ya haki.
Acha upumbavu wewe, unajua kuwa nchi hii kwa mujibu wa sheria ya ardhi, raia ni wakodishaji tu kwa muda maalum? Sasa kiwanja cha thamani ya Bilioni 17 itapatikanaje? Mseme tu Huyu ni mgalatia mwenzenu angekua Ali, au Ramadhan tayari mngekuwa busy kutaka forensic na leo jioni jipu lingetumbuliwa.
 
Hii mifuko ya jamii ni shida wafanya kazi wanakatwa fedha kutoka kwenye mishahara yao kuchangia akiba yao ya uzeeni tangu siku ya kwanza anapoajiriwa lakini wakistaafu miaka 40 baadae malipo ni shida wakati huo wastaafu hao ni wazee hawana namna nyingine ya kupata fedha za kujikimu
 
Mkuu punguza hasira, yes wewe na mimi ni wakodishwaji wa ardhi lakini tunayo haki ya kuuza haki yetu ya ukodishwaji wa ardhi, na haki nyinginezo nyingi zinazoambatana na haki hiyo.

Kiwanja kuwa na thamani ya billioni 17 inawezekana kabisa inategemea ukubwa na mahali kiwanja husika kilipo. Mfano mdogo leo ukienda pale Msasani Peninsular waweza kununua square metre moja kwa 2 million, ambayo ni sawa na kununua eka mbili kwa Billion 16 na ushee.

Hoja yangu hapa ni hilo eneo lina ukubwa gani kabla hatujamuhukumu huyu PPF. Maake inawezekana kanunua hekta tatu kwa bei hiyo kitu ambacho ni halali kabisa.

Mleta mada na wanaojua eneo lililonunuliwa watuambie lina ukubwa gani.

Natumaini mkuu umenielewa. NB: Sipendi kabisa kuingiza udini kwenye masuala yasiyo ya kidini.
 
Hii mifuko ya jamii ni shida wafanya kazi wanakatwa fedha kutoka kwenye mishahara yao kuchangia akiba yao ya uzeeni tangu siku ya kwanza anapoajiriwa lakini wakistaafu miaka 40 baadae malipo ni shida wakati huo wastaafu hao ni wazee hawana namna nyingine ya kupata fedha za kujikimu
Ondoa udini, ondoa ukabila na ubinafsi wote na uongee kama alivyofanya mkuu maalon hapa.
Hivi fikiria mtu anakatwa mshahara wake na watu wengine hata kodi za nyumba na milo miwili ni shida lakini baada ya miaka 15 ya kukaa na pesa yake hakuna cha interest, mkopo, au utaratibu wa kuwawezesha japo kumiliki kakiwanja.
Mara unaamka asubuhi unasikia shirika hilo hilo linajenga Machinga Complex ambayo wataalamu wa hesabu wanasema hata ikikaa miaka 100 haitaweza kurejesha hata nusu ya pesa zilizoijenga. Kabla hujatulia unasikia eti dataja la Kigamboni, na wanaenda mbele zaidi kusema kuwa thamani yake halisi ni Billion 140 lakini wamakwambia limejengwa kwa billion 240 ambayo hata wakitoza hizo tozo zao kwa miaka 300 pesa haiwezi kurudi. Na leo unaamka wanakwambia wamenunua kiwanja kwa US $8,000,000!
Kweli miafrika ndivyo tulivyo lakini mitanzania imezidi!
 
Mimi nakaa jirani na hapo waliponunua na wameshaanza kujenga jengo la ghorofa 30.. Kiwanja ni kikubwa tu

Bora wewe unaona kitu kinachofanyika maana mtoa mada anaonekena hana uhakika.

Pengine hiyo gharama ni pamoja kiwanja na jengo kukamilika.

Kama sivyo hii ni presha sana kila sehemu kumeoza aiseee.
 
hiyo pesa ni saw a kama wameinunua mlimani city mall na viwanja vyake. Lakini kama ni plot ya 40/40 pesa mingi sana

Hiyo pesa(16billions tshs) ni sawa na/inatosha kununua Mlimani city na viwanja vyake??

jifunze kukaa kimya kwenye mambo usiyoyajua mkuu,,dont let something your not certain of get out of your mouth kirahisi,,usipende kuropoka usiyoyajua,,ficha ujinga wako

Otherwise tumia speculative language on things ambazo hauna uhakika/hujui
 
Mimi nakaa jirani na hapo waliponunua na wameshaanza kujenga jengo la ghorofa 30.. Kiwanja ni kikubwa tu
sasa na wew et kiwanja kikubwa tu ndio majibu gani ni kikubwa kulingana na kip kina sqm ngap hata kwa makadiro tu ama na wew ni wale wale wale
 
sasa na wew et kiwanja kikubwa tu ndio majibu gani ni kikubwa kulingana na kip kina sqm ngap hata kwa makadiro tu ama na wew ni wale wale wale
Ukitaka kujua sqr metet nenda ardhi ujiridhishe...
 
Ukitaka kujua sqr metet nenda ardhi ujiridhishe...
si bora unyamaze tu bwege wew
kuliko kuandika usivyo vijua ujui ukubwa ni sifa linganishi
ni sawa na kumuambia mtu umefaulu kombe una Division 4
maana 4 kwaku ndo kufaulu kumbe kuna kufaulu kwa div 1,2..
 
Ww ndio uwezo wako wa kuelewa mgumu huyo anayelalamika kiwanja kununuliwa kwa dola milioni 8 hajui hata ukubwa wake.

Ww unataka kujua sqr meter njoo upime hanithi ww
 
Twende kitaalamu kidogo kabla ya kutuhumiana. Maeneo ya Sam Nujoma, je ardhi imefikia kiasi gani kwa meta mraba?

Acha nibunie. Labda haitazidi 250,000/=. Ikiwa ndivyo, basi eneo la ekari (acre) 1 hapo S'joma litazidi kdg 1bn/=. Bilioni si ndogo jamani.

Kwa hizo 16bn/17bn/=, basi eneo litakua ekari 16 hivi. Zaidi ya meta za mraba 64,000!!

Wenye kujua, je eneo linafikia ekari 16? Maana yake ni kuwa kwa upana wa meta 63, urefu uwe kilometa 1. Kutoka hapo Kobil labda hadi karibia na Mwenge!!

Au eneo linalowiana na hilo.

Hiyo ni km meta mraba moja ya ardhi iuzwe kwa 250k/=. Na hiyo ni kadirio la juu kwa Sam Nujoma. Unless mwenye taarifa za mauzo ya ardhi maeneo hayo siku za karibuni aje kuthibitisha tofauti.
 
Back
Top Bottom