tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Mmh. Yasiwe makovu ya kunyimwa pesa za kampeni 2015. Lakini ni jambo zuri.
"Things Falls Apart When The Arrow of God is No Longer At ease"Hahahahah kama ni kweli naona ile enzi ya "things fall apart" inakaribia.....
Bro Magu tambua tu "No longer at easy"
Mm nashangaa. Huyo fisadi alikua wapi? Na je ndani ya chama hicho hakuna fisadi zaidi ya lowassa kweli? Aaah jamani tuishi maisha ya kweli. Tuache yale ya kuigizaUKAWA wakati wenu wakuinua midomo ulishapita mara tu mlipompokea fisadi Lowasa
"Things Falls Apart When The Arrow of God is No Longer At ease"
Hapo kwa makamba hawezi. Ni watu wa kazi hao. Ndio waliosababisha akawa rais. Niamini mimiHahahahah kama ni kweli naona ile enzi ya "things fall apart" inakaribia.....
Bro Magu tambua tu "No longer at easy"
Hata wakiandamana hawawezi kuleta impact yoyote kwa ninavyomjua magu. Makamba ni mtu wake na alimsaidia sana kwenye kampeni* UMOJA WA VIJANA UVCCM WAMTAKA JANUARY MAKAMBA AJISAFISHE HARAKA IWEZEKANAVYO...
* UMOJA HUO KUANDAA MAANDAMANO MAKUBWA SANA KWENDA IKULU, KUMUOMBA RAIS MAGUFULI AMFUKUZE KAZI
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi kimemtaka waziri ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano kutoka hadharani na kujisafisha kwa tuhuma za kulifanyia udalali rasilimali za nchi
Tamko lililotolewa na ofisi ya Katibu Mkuu likiwa ni maazimio ya kamati ya utekelezaji limemtaka Makamba kujisafisha mwenyewe kabla ya kuandaa maandamano kwenda Ikulu kumuomba Rais Magufuli amfukuze kazi
"Awamu ya tano imebeba viongozi safi, na kwa wale wasio wasafi lazima tumsaidie Rais kutumbua majipu. Ndio mana katika hili lazima tumsaidie Rais, na kukisaidia chama chetu CCM ili wapinzani wasipate agenda"...
Hivyo tunatoa siku 4 awe amejisafisha kwa njia yoyote ile. Kinyume na hilo basi UVCCM itaandaa maandamano makubwa ya kwenda kumuomba Rais Magufuli alifanyie kazi suala hilo ikiwa ni pamoja na kumfukuza kazi...
Vile vile tunampongeza sana sana Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoendelea kufanya mpaka sasa. Wananchi wengi wanakubali kazi yake, na amekuwa kinara wa kuongoza mabadiliko ya kweli.... Umoja wetu utasimama na yeye daima... Na pia jumuiya hiyo imempongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya Africa Mashariki...
UVCCM Bana
Kwa hiyo akitoka hadharani akikanusha wataridhika.
This is Crap,nilitegemea wao wafanye uchunguzi wao then ndio watoe tamko.
Vijana wa CCM ni kielelezo cha Vijana wenye Njaa na wenye kujipendekeza
Nakubaliana naweHapo kwa makamba hawezi. Ni watu wa kazi hao. Ndio waliosababisha akawa rais. Niamini mimi
Source?* UMOJA WA VIJANA UVCCM WAMTAKA JANUARY MAKAMBA AJISAFISHE HARAKA IWEZEKANAVYO...
* UMOJA HUO KUANDAA MAANDAMANO MAKUBWA SANA KWENDA IKULU, KUMUOMBA RAIS MAGUFULI AMFUKUZE KAZI
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi kimemtaka waziri ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano kutoka hadharani na kujisafisha kwa tuhuma za kulifanyia udalali rasilimali za nchi
Tamko lililotolewa na ofisi ya Katibu Mkuu likiwa ni maazimio ya kamati ya utekelezaji limemtaka Makamba kujisafisha mwenyewe kabla ya kuandaa maandamano kwenda Ikulu kumuomba Rais Magufuli amfukuze kazi
"Awamu ya tano imebeba viongozi safi, na kwa wale wasio wasafi lazima tumsaidie Rais kutumbua majipu. Ndio mana katika hili lazima tumsaidie Rais, na kukisaidia chama chetu CCM ili wapinzani wasipate agenda"...
Hivyo tunatoa siku 4 awe amejisafisha kwa njia yoyote ile. Kinyume na hilo basi UVCCM itaandaa maandamano makubwa ya kwenda kumuomba Rais Magufuli alifanyie kazi suala hilo ikiwa ni pamoja na kumfukuza kazi...
Vile vile tunampongeza sana sana Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoendelea kufanya mpaka sasa. Wananchi wengi wanakubali kazi yake, na amekuwa kinara wa kuongoza mabadiliko ya kweli.... Umoja wetu utasimama na yeye daima... Na pia jumuiya hiyo imempongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya Africa Mashariki...
Hata wakiandamana hawawezi kuleta impact yoyote kwa ninavyomjua magu. Makamba ni mtu wake na alimsaidia sana kwenye kampeni
hivi nani msafi ndani ya ccm?