Haaaa haaaa Sarakasi na movie zinaendelea, maoni ya mwenyekiti wa UVCCM sijui ni maoni yake binafsi au ya UVCCM yote na kama ya UVCCM sijui walikaa lini na wapi?
Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilayani Hai (UVCCM),Arnold Swai amepinga ya kurejea ndani ya chama hicho kwa mwanadiplomasia na mwanasiasa mkongwe nchini, Balozi Juma Mwapachu.
Balozi Mwapachu, juzi alitangaza kurejea CCM kwa madai ya kuridhishwa na utendaji wa Rais Magufuli.
Akizungumza na wanahabari jana mkoani hapa,Swai alisema kuwa chama hakipaswi kumpokea mwanasiasa huyo kwa madai kuwa ni msaliti huku akienda mbele zaidi na kutaka waliompokea wachukuliwe hatua za kinidhamu kwa mujibu wa kanuni za chama.
"Ni lazima tujiulize, hivi mwanadiplomasia huyo angekuwa tayari kurejea CCM kama mgombea urais wa UKAWA, Edward Lowassa angeshinda urais?" alihoji na kuongeza:
"Hatuwezi kumpokea msaliti kama huyu, wakati chama kilipokuwa kwenye mapambano aliondoka tena kwa kejeli, leo chama chetu kimesimama imara chini ya mwenyekiti wetu Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ndio anarudi na wimbo uleule kwamba chama kimemlea, haikubaliki."
Alisema wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,baadhi ya makada maarufu wa CCM walikisaliti chama huku wakitoa kauli za kejeli na kusababisha mpasuko ndani ya chama ambao majeraha yake hayajapona.
Mwenyekiti huyo alieleza kukerwa na kauli ya Balozi Mwapachu kwamba chama ndo kimemlea na kwamba hayo si maradhi ya kumuua mtu bali yanatibika, lakini dhambi ya usaliti haitibiki
"Nguvu kubwa iliyotumiwa na CCM kuwanadi wagombea wake ilisababishwa na wasaliti kama hawa,nawaomba viongozi wa ngazi za juu kutofumbia macho jambo hili kwani ni hatari kwa ustawi wa chama chetu." Alisema
Balozi Mwapachu alirejea CCM juzi na kupokelwa na mwenyekiti wa CCM kata ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, Athuman Mareenda, ambaye alimkabidhi tena kadi ya uanachama wa chama hicho.
Chanzo: Mpekuzi

Chanzo: Mpekuzi[/QUOTE
hivi uv ccm nao wanatumbuaga majipu ...?
Labda atakuwa nusu UVCCM na nusu CDMkumbe uvccm kuna wachaga! tuliambiwa na uvccm hao hao kwamba wachaga chama chao ni CHADEMA sasa iweje huyu mwenyekiti awe CCM?
Naomba nikuulize, hivi wewe una akili kweli wewe? Unajua unachokiandika? umeshirikisha akili yako ulipoandika haya?ACHENI ULAGHAI NYIE! CCM TOKA LINI KIMEKUWA KISAFI HIVYO?! CCM NI CHAMA AMBACHO HATA OSAMA NA WAFUASI WA BOKO HARAM NA ISIL WANA SIFA NA HAKI YA KUJIUNGA.!
Huyo kijana wa UVCCM ana jina la Kaskazini, tumchunge isije ikawa anatumiwa na upinzani.
Kwa mara ya kwanza nimewapenda UVCCM. Ni hatari hawa watu wanaojiangalia wao baadala ya wengi. Hivi huyu mzee kakosa hata senti ya mboga jamani. Huku ni kujinyanyapaa
Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilayani Hai (UVCCM),Arnold Swai amepinga ya kurejea ndani ya chama hicho kwa mwanadiplomasia na mwanasiasa mkongwe nchini, Balozi Juma Mwapachu.
Balozi Mwapachu, juzi alitangaza kurejea CCM kwa madai ya kuridhishwa na utendaji wa Rais Magufuli.
Akizungumza na wanahabari jana mkoani hapa,Swai alisema kuwa chama hakipaswi kumpokea mwanasiasa huyo kwa madai kuwa ni msaliti huku akienda mbele zaidi na kutaka waliompokea wachukuliwe hatua za kinidhamu kwa mujibu wa kanuni za chama.
"Ni lazima tujiulize, hivi mwanadiplomasia huyo angekuwa tayari kurejea CCM kama mgombea urais wa UKAWA, Edward Lowassa angeshinda urais?" alihoji na kuongeza:
"Hatuwezi kumpokea msaliti kama huyu, wakati chama kilipokuwa kwenye mapambano aliondoka tena kwa kejeli, leo chama chetu kimesimama imara chini ya mwenyekiti wetu Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ndio anarudi na wimbo uleule kwamba chama kimemlea, haikubaliki."
Alisema wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,baadhi ya makada maarufu wa CCM walikisaliti chama huku wakitoa kauli za kejeli na kusababisha mpasuko ndani ya chama ambao majeraha yake hayajapona.
Mwenyekiti huyo alieleza kukerwa na kauli ya Balozi Mwapachu kwamba chama ndo kimemlea na kwamba hayo si maradhi ya kumuua mtu bali yanatibika, lakini dhambi ya usaliti haitibiki
"Nguvu kubwa iliyotumiwa na CCM kuwanadi wagombea wake ilisababishwa na wasaliti kama hawa,nawaomba viongozi wa ngazi za juu kutofumbia macho jambo hili kwani ni hatari kwa ustawi wa chama chetu." Alisema
Balozi Mwapachu alirejea CCM juzi na kupokelwa na mwenyekiti wa CCM kata ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, Athuman Mareenda, ambaye alimkabidhi tena kadi ya uanachama wa chama hicho.
Chanzo: Mpekuzi
kumbe uvccm kuna wachaga! tuliambiwa na uvccm hao hao kwamba wachaga chama chao ni CHADEMA sasa iweje huyu mwenyekiti awe CCM?
Zenshi hao Andrew babazao wangezuiliwa nao wangekuwa hapoRais Magufuli ni erratic. Sijui huyu chipkizi analalamika nini. What is the condition of the Daesassalaam Stock Exchange?
Akili za mende zinatosha sana choo cha sokoni.Jana Mwapachu alipohamia UKAWA, lowassa alisemaje?
Na leo alipojiondoa UKAWA, Lowassa umemsikia alichokisema?
Kitimoto huli, lakini mchuzi wake Oya Oya !?Ndio maana namkubali Magufuli kama Magufuli, ccm ni ile ile