kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
Kumega kipande hakutawasaidia
uvccm ni jobless cornerHawa wamekatwa vichwa fikiria wanafikiria kwa kutumia nini kama siyo maka..! Ukiwasikiliza utakuwa una akili kama yao..
Wanapodai wanasiasa wasijadili Lugumu inaonesha jinsinhii jumuiya ilivyo na watu ambao ni weupe kichwani. Hivi wanasiasa siyo Watanzania ambao ni wawakilishi wa wananchi? If not them, who will do it? Labda wanawaanisha wanasiasa wa upinzani kwa kuwa hata mawaziri mpaka na bosi wao ni wanasiasa. Nani sasa ajadili uozo unaotokea serikalini? AMAZING and SHOCKING.Wao wanaongea kama nani kwenye hili sakata la Lugumi?
wamefadhiliwa na riz1, mawakala wa mafisadi, bure kabisa!Kama Taifa la Tanzania linategemea vijana kama hawa basi Taifa linahitaji maombi makubwa sana tena shughuli zote zisimame mwenzi mzima tupige maombi tu
===============
View attachment 348712
Umoja wa vijana CCM 'UVCCM' umewataka vyama na wabunge wa upinzani kuacha kuingilia suala la mkataba wa Lugumi kwani bado kamati ya bunge iliyoundwa ipo katika uchunguzi.
Lugumi...hivi halijamfikia JPM.hoja ya Lugumi ilisha tolewa muongozo wake, mchakato bado unaendelea, lema halijui hili, analalamika tu, UVCCM wanawakumbusha wale wavivu wa kufikiri
huyu jamaa ni mmoja ya watu wajinga kabisa kuwahi kutokea CCM...akiungana na NapeAbubakar D. Asenga
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji,Sera,Utafiti na Mawasiliano UVCCM MAKAO MAKUU.
Simu 0627968722
EMAIL;uvccm1978@gmail.com