Kwa nilichokisikia jana na nilichokiona kwenye ile clip naamini Makonda is more powerful kuliko PM na Makamu wa Rais.Hatujawaona Makirikiri na bunduki wakimsindikiza PM wala Makamu wa Raisi.Muda gani tena na suala limefungwa?Kiongozi mzuri ni yule anaesimamia anachokiamini.
Kuingia clouds na walinzi wakiwa na bunduki sio kosa la jinai,hakuna mtu aliepigwa kibao wala mtama.
Toeni clip ya kilichotokea ndani ya studio,maana kuna camera mle ndani,hamtaki mnabakia kulia tuu
Mwisho wa yote Historia itamvika taji NAPE MOSES NNAUWIYE kwakuwa alisimamia haki. Siku mkifika 2020 bila kiwanda cha maana mtabaki kujiuliza shida yote hii tunaipata ya nini? Unafikh haulipi.Sasa Nape Moses Nauye atakuwa kauelewa mchezo baada ya kuwekwa nje ya uwanja akiwatazama wenzie wanaucheza!
Nape alikurupuka sana na hii inamfanya ajutie maisha yake kufa akubali akatae, majuto ni mjukuu
Hakika Nape amesombwa peke yake katika sakata hili la uvamizi wa clouds, sijui anavuta picha gani huko aliko
Lakini haya yote ni matokeo ya kukurupuka, kufanya mambo pasi kushirikisha ubongo na kusoma alama za nyakati kwamba "house girl anayetembea na baba mwenye nyumba huwa na kiburi sana"
Nape ulijitakia kuwekwa pending na sasa Bashite ni shujaa zaidi yako, si wahariri wala bosd Ruge na clouds yake, Bashite division zero ndio shujaa katika hili
"mwanaume mashine"
unamuongelea bashitte au.....Sasa Nape Moses Nauye atakuwa kauelewa mchezo baada ya kuwekwa nje ya uwanja akiwatazama wenzie wanaucheza!
Nape alikurupuka sana na hii inamfanya ajutie maisha yake kufa akubali akatae, majuto ni mjukuu
Hakika Nape amesombwa peke yake katika sakata hili la uvamizi wa clouds, sijui anavuta picha gani huko aliko
Lakini haya yote ni matokeo ya kukurupuka, kufanya mambo pasi kushirikisha ubongo na kusoma alama za nyakati kwamba "house girl anayetembea na baba mwenye nyumba huwa na kiburi sana"
Nape ulijitakia kuwekwa pending na sasa Bashite ni shujaa zaidi yako, si wahariri wala bosd Ruge na clouds yake, Bashite division zero ndio shujaa katika hili
"mwanaume mashine"
kwanini mkuu?!!!Kwa namna yeyote ile Nape asingedumu sana kwenye kabinet,hata kama isingekuwa issue ya bashite
May Allah bless Me and You
Kwa sababu anazozijua mteuz.kwanini mkuu?!!!
nimekupata!Kwa sababu anazozijua mteuz.
Je why ametumbuliwa?Kwa sababu mteuz hakuweka any reasons
May Allah bless Me and You
nimekupata!
nafarijika na haya maneno kuwa muda utaongea kwa upande wa nape kwasababu, kwa nguvu kabisa, naamini nape ameonewa sn ktk hili na inaniuma sn kwakweli.....kwakuwa madaraka ni jambo la muda tu, huyu bottom makonda naamini yatamkuta siku moja. hofu yangu tu ni kuwa lazima kutakuwa na nguvu nyingi za kummaliza nape kisiasa na hata kifedha kutoka kwa mkuu ili asiwepo tu huko mbeleni....na km akiwepo basi awe hoi kabisa!!!!