Uvaaji stara wa kike mtindo wa kiislamu watamba(Hijabu)

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828

Wanamitindo wawili wakati wa maonesho ya mitindo ya mavazi ya Stara Fashion Week yalioandaliwa City Garden, Dar es salaam.
Maonesho yalitumiwa na wabunifu mitindo wa Kiislamu Tanzania kuvumisha mavazi ya heshima kwa wanawake.
bbc-Swahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…