Uturuki: Tutaendelea kusimama na HAMAS katika vita vyao vya Ukombozi!

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,180
36,171
1. Rafiki wa kweli hujulikana wakati wa dhiki:

IMG_20240515_150057.jpg

2. Hii itakuwa habari mbaya mno kwa wasayuni wote kuanzia Tell Aviv, hadi Buza pande za kwa Mpalange huko.

IMG_20240515_150200~2.jpg

3. Mwizi ni mwizi tu huyo ni wa kusema naye siku zote na popote atakapoonekana!

IMG_20240515_150305.jpg

4. Ngoja tumsubiri mwenye mpango wake wa kuifuta HAMAS duniani.
 
BREAKING: Israel puts 100% tariff on imports from Turkey until the end of Erdogan's term.
 
1. Rafiki wa kweli hujulikana wakati wa dhiki:

View attachment 2992076

2. Hii itakuwa habari mbaya mno kwa wasayuni wote kuanzia Tell Aviv, hadi Buza pande za kwa Mpalange huko.

View attachment 2992083

3. Mwizi ni mwizi tu huyo ni wa kusema naye siku zote na popote atakapoonekana!

View attachment 2992078

4. Ngoja tumsubiri mwenye mpango wake wa kuifuta HAMAS duniani.
Haitoshi Uturuki kusalia kusema hivyo, bado ana unafiki ndani yake, Palestinian wanaendelea kuuliwa kila kukicha alipaswa kuongeza nguvu kumsaidia ndugu yake Muislam kwa vyovyote vile, Uturuki ina uwezo mkubwa sana wa silaha na kila kitu, leo jirani yako anauliwa unachukia katika nafsi wakati una uwezo wa kupambana, ameonyesha udhafi Erdogan
 
kwa hiyo jirani anauliwa na jirani?
 
Apeleke akutane na moto mzito wa myahudi.

Apeleke akutane na moto mzito wa myahudi
Uturkey sio nchi iliyozijgirwa kama gaza kwama hawewez kurusha drone hawewezi kuingiza chakula kule amna rafa Cross border hivyo vita Israeli hata viweza kamwe .uturuki ina technologies za ndege za kisasa walizotengeneza wenyewe .usiwape sifa wasiozokuwa nazo
 
Haitoshi Uturuki kusalia kusema hivyo, bado ana unafiki ndani yake, Palestinian wanaendelea kuuliwa kila kukicha alipaswa kuongeza nguvu kumsaidia ndugu yake Muislam kwa vyovyote vile, Uturuki ina uwezo mkubwa sana wa silaha na kila kitu, leo jirani yako anauliwa unachukia katika nafsi wakati una uwezo wa kupambana, ameonyesha udhafi Erdogan

Mkuu ni heri wanaothubutu hata kusema tu:

F3k78Z8a0AAldWM.jpeg
 
Back
Top Bottom