ha hahaha aisee wanatia huruma mkuuDuh,kumbe jamaa ananunua tiles na vioo vya giza kwa fedha ya vitambulisho vya utaifa.Sasa tusubirie haya magofu watayafanyia nini sasa. Maana design zao hauwezi hata kuhamia kwa muda ili uimalizie nyumba taratibu.