Utumbuaji Majipu: Inashangaza mpaka sasa alietumia document fake kuzuia uchaguzi hajasimamishwa kazi

fogery ni jinai..
ila hii serikali ni ya kikafiri..
akina mkapa napu waliwaita watanzania wapumbavu na wanywa viroba hilo halikua kosa..
leo tunashuhudia raia wakipanda mahakamani eti wamekashifu viongozi..
basi hata hili hutoona hatua..
foji wewe uone.
 
Mawazo ya ukawa ni kupiga tu mnangangania nini huo umeya kama vile mlizaliwa ili muwe mameya, yaani kutwa kutuchosha tu na thread za umeya na matamko, bora mnyimwe hivyo hivyo msije kutufilisi hapa..
Hapo ulipo umefilisiwa mpaka ubongo wako ndo mana hata kufikiri kiume huwezzi
 
Kama ule usanii wa kuzungusha mikono,na kumsafisha lowassa kutoka kuwa fisadi mpaka kuwa mgombea wa chama kinachopinga ufisadi.
Afadhali ya tuhuma za lowassa za Richmond ambazo infact hakuna shilingi moja ilitolewa kuwalipa Richmond,kuliko huyu ananunua meli mbovu kwa bilioni 6 la miaka ya 70,ambalo kutoka tu hapo Bagamoyo mpaka hapa Dar linachukua masaa matatu,Yaani hata mtu wa baiskeli ya phoenix anawahi kufika kabla la hilo limeli la kifisadi!Wakati Bakhressa ananunua kwa bei hiyohiyo meli mpya inaenda Zanzibar kwa dakika 45.Sijui hilo limeli lenu mngelipeleka Zanzibar kama lingefika, naona ameamua kwenda kulipaki Mtwara lioze huko kusipokuwa na waandishi wa habari.
 
Ulitaka wampe FISADI LOWASSA ambaye hata KIMAMBI aliwahi kumtaja ni fisadi papa.
Kimambi kamtaja Makamba sasa mnakuja juu..! Tena wewe kuna comment kwenye uzi mwingine umemtetea live Makamba.. Mnaambiwa muwe wapole.. Mwiba siku zote unatokea pale ulipoingilia..!
 
Inashangaza sana hii serikali ambayo tunaambiwa imedhamiria kurejesha nidhamu ya watumishi wa umma mpaka sasa haijamsimamisha kazi mtumishi alietumia document isiyostahili(fake) ya Mahakama kuzuia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar-es-salaam ili nae apishe uchunguzi kama wengine.

Wacha tusubiri lakini nimekumbuka msemo wa Kiswahili usemao: "njia ya muongo ni fupi."
Menyewe ka menyewe
 
Kimambi kamtaja Makamba sasa mnakuja juu..! Tena wewe kuna comment kwenye uzi mwingine umemtetea live Makamba.. Mnaambiwa muwe wapole.. Mwiba siku zote unatokea pale ulipoingilia..!
Jibu ni rahisi sana kama kimambi ana ushahidi na utapeli wa makamba apeleke mahakamani.Nimetumia reference ya kimambi maana siku alivyomtaja Lowassa mlitokwa na povu jingi,leo hii kamtaja Makamba mnashadadia ooo awajibishwe kama nyie ni waadilifu na mnamuamini kimambi mngeanza kwanza kumuwajibisha lowassa baada ya kuwa ametajwa na kimambi.
 
Afadhali ya tuhuma za lowassa za Richmond ambazo infact hakuna shilingi moja ilitolewa kuwalipa Richmond,kuliko huyu ananunua meli mbovu kwa bilioni 6 la miaka ya 70,ambalo kutoka tu hapo Bagamoyo mpaka hapa Dar linachukua masaa matatu,Yaani hata mtu wa baikeli ya phoenix anawahi kufika kabla la hilo limeli la kifisadi!Wakati Bakhressa ananunua kwa bei hiyohiyo meli mpya inaenda Zanzibar kwa dakika 45.Sijui hilo limeli lenu mngelipeleka Zanzibar kama lingefika, naona ameamua kwenda kulipaki Mtwara lioze huko kusipokuwa na waandishi wa habari.
Mkuu nashukuru kwa kukili kumpokea fisadi lowassa wa Richmond,haya mengine ni mbwembwe tupu.
 
Mawazo ya ukawa ni kupiga tu mnangangania nini huo umeya kama vile mlizaliwa ili muwe mameya, yaani kutwa kutuchosha tu na thread za umeya na matamko, bora mnyimwe hivyo hivyo msije kutufilisi hapa..
Akili za kimong'oo hizi
 
Jibu ni rahisi sana kama kimambi ana ushahidi na utapeli wa makamba apeleke mahakamani.Nimetumia reference ya kimambi maana siku alivyomtaja Lowassa mlitokwa na povu jingi,leo hii kamtaja Makamba mnashadadia ooo awajibishwe kama nyie ni waadilifu na mnamuamini kimambi mngeanza kwanza kumuwajibisha lowassa baada ya kuwa ametajwa na kimambi.
Akili za porini kusema raia binafsi kama ana ushahidi wa uhalifu wa kiongozi ati aende mahakamani wakati ni kesi ya jinai..!

Na kama Kimambi alipomtamka Lowassa fisadi nyie mlishangilia sana.. Leo ni zamu ya upande ule kushangilia kufichuliwa kwa uovu na nyie mkae kimya au mje na utetezi uliojitosheleza..

Vinginevyo midomo yenu iwe
 
Aaaaa kumbe yule mgombea aliyekuwa anasema mwenye ushahidi na Richmondi aende mahakamani alikuwa na akili za porini.Nimekuelewa mkuu.
 
Aaaaa kumbe yule mgombea aliyekuwa anasema mwenye ushahidi na Richmondi aende mahakamani alikuwa na akili za porini.Nimekuelewa mkuu.
Waliosema vile ndo walioshika dola.. hata mtoto mdogo analijua hilo.. wana uwezo wa kuwafikisha mahakamani wakiamua.. Tuhuma kwa Makamba zimetolewa na raia dhidi ya dola.Makamba ni sehemu ya dola... Katu raia hawezi.. Jaribu kuelewa acha ukada pembeni..
 
Inashangaza sana hii serikali ambayo tunaambiwa imedhamiria kurejesha nidhamu ya watumishi wa umma mpaka sasa haijamsimamisha kazi mtumishi alietumia document isiyostahili(fake) ya Mahakama kuzuia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar-es-salaam ili nae apishe uchunguzi kama wengine.

Wacha tusubiri lakini nimekumbuka msemo wa Kiswahili usemao: "njia ya muongo ni fupi."
Mtumbuaji mwenyewe ana jipu kubwa kuliko wote, tena lipo kwapani akitikisika kidogo tu linapasuka, jipu lenyewe ni nyumba zetu, ndio maana hataki kumgusa change, ngereja ,muhongo, hata zile bilioni za uswizi hawezi kuziongelea, vilevile anajipu mguuni nalo ni kivuko cha MV DSM,bado sijagusia Barbara fake mmmmmmm tusubili tutaona utumbuaji wa vipele na chunusi na si majipu.
 
Back
Top Bottom