Imeebidi niangalie hiyo Antonov An-225. Man, dude ni kubwa. Carrying 600 tonnes si mchezo. Bongo haliji kutua leo au kesho.Nope, sipo Perth. Ila news za leo perth ni kutua kwa ndege kubwa sana duniani kwa mara ya kwanza Oz, watu kama 20k wameshuhudia The Antonov A-225 ikitua mida ya sa11:30 perth time.
Sijui Bongo itafika lini
Imeebidi niangalie hiyo Antonov An-225. Man, dude ni kubwa. Carrying 600 tonnes si mchezo. Bongo haliji kutua leo au kesho.
nimetoka kuichek hata mimi nimegoogle. Yani had imeleta folen watu wamejipanga kuiona
Ataleta mvutano sana, humu kuna USA vs Russia.Anzish thred bs kujulisha umma mkubwa zaid
ipi bora kubeba boks hapa ama kuuza nyanya vingungut