Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri hawahudhurii na bungeni hawahudhurii, ila ziara za kamati na vikao vyake wanawahi.
Ukweli mimi sio mjuzi wa shughuli za bunge ila unakerwa na bajeti ya wizara kupitishwa na robo ya wabunge.
Spika na wabunge hawana cha kuishauri Serikali?
Am out!