More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 136
- 284
Habari wadau
Kipindi hiki kumekuwa na tendency ya watu wengi kuuza maduka yao, Kila nnapotembelea Market place facebook kila baada ya post moja unakuta duka linauzwa.
Maduka mengi yanayouzwa ni ya dawa, nguo, chakula nk.
Je nini chanzo cha maduka mengi kuuzwa kipindi hiki?