Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Lakini teuzi za Magufuli hazijawahi kuvuja hivyo huu unaweza kuwa uzushi!

Hata mimi simuelewi vizuri mleta uzi na habari hizi. Ni kweli teuzi za Magufuli hazijawahi kuvuja na kama yupo kidudu mtu ikulu alievujisha habari hizi kwa alieamini hatavujisha nyeti hii basi amewaharibia hata waliokuwa wateuliwe mara nyingi taarifa nyeti hivi zikivuja orodha nzima huachwa na kuteuliwa wengine.
 
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......

1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba

NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
wakati wa kikwete tuliambiwa ni Askari wa miavuli, kweli ccm wao wanajua kusifu tu, hata kama kachaguliwa mtu kama Anna Kilango
 
Hata mimi simuelewi vizuri mleta uzi na habari hizi. Ni kweli teuzi za Magufuli hazijawahi kuvuja na kama yupo kidudu mtu ikulu alievujisha habari hizi kwa alieamini hatavujisha nyeti hii basi amewaharibia hata waliokuwa wateuliwe mara nyingi taarifa nyeti hivi zikivuja orodha nzima huachwa na kuteuliwa wengine.
mkuu na kwa vile majina yetu hayamo basi tuombe iwe imevuja ayapotezee majina haya huenda tukakumbukwa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom