Uteuzi wa Kitila Mkumbo ni wa kimkakati!

Kama Magufuli Kuzuia Ufisadi ni kutaka watu wake wawe maskini... so be it!
 
Rais wa kwanza Tanzania kuchukiwa na wasomi karibi wote directly and indirectly. Amini usiamini hakuna msomi anae jitambua anae mpenda Magufuli labda wachache wanao faidika na utawala wake moja kwa moja.
Kiongozi yoyote aliye MAKINI na Kusimamia misingi iliyo wekwa KAMWE HAWEZI KUWA KIONGOZI na HAWEZI KUPENDWA au KUKUBALIKA na wengi ambao wanaguswa kwa namna moja au nyingine!!! Sasa Nchi itakaa sawa.
 
Haina mashiko kabisa hii hoja yako.

Kitila ni mfanya kazi wa serikali hapo alipo kabla ya kuteuliwa ukatibu mkuu. Kumbuka hilo.
 
You are not among the learned people, the only thing you know is second class English. Go back to school and learn how to challenge either a spoken or a written analysis.To me you sound pretty like an empty headed staunch follower of Magufuli.what a useless follower.
kwa hiyo ukibadiri lugha ndo unajiona kuongeza point au? yani tabia za kitoto kabisa
 
Rais wa kwanza Tanzania kuchukiwa na wasomi karibi wote directly and indirectly. Amini usiamini hakuna msomi anae jitambua anae mpenda Magufuli labda wachache wanao faidika na utawala wake moja kwa moja.


Ni nani alikudanganya kuwa Rais yuko pale ili apendwe na wasomi?

Rais yuko pale kufanya kazi na wasomi na amelionesha hilo toka alipoingia madarakani.
 
Ule mkwara wa zitto kutaka kumuwajibisha katika bunge hili ndio umezaa nafasi ya kitila mkumbo hakuna zaidi, siasa zake za kizamani sana uzuri wabongo tushamjua rangi yake halisi,
 
Kigezo kimojawapo cha ufahamu na maarifa ya kweli ni KUJITAMBUA hiki ndio kinatofautisha kati ya Watanganyika na wazanzibari na ktk KUJITAMBUA ni lazima ukweli uchukue nafasi na uongo na unafiki ukae pembeni

Watanganyika mmekuwa ni wanafiki sana na hii inapelekea mpaka elimu na maarifa yenu yaonekane ni bure tu pamoja na kujifanya wajuaji na wachambuzi mpaka watabiri wa mambo ya kisiasa

Unapozungumzia heshima ya magufuli imeshuka nje je ni vigezo gani unatumia kupima na kujua heshima imeshuka ambavyo vilikuwapo na sasa havipo ?

Nyinyi kutwa mmesema JPM hashauriki hataki wapinzani leo amemchagua mnasema sijui mnataka nini na moja ya dalili ya unyani ni kuto jua unataka nini kwani tofauti ya binadamu na wanyama ni utashi na utashi ndio unamfanya binadamu kujua baya na zuri
 
Hakika atakuwa Ni Rais wa kwanza kutawala mhula mmoja. 2020 lazima apigwe chini.
Kabisa, kabisa watanzania wanatamani uchaguzi uwe kesho, yani vipindi vya kampeni vimeshapita....hata afanye nini, hawezi kupita. Tumemshamjua, he is up to no good
 
Wewe humfahamu Zitto Kabwe vizuri,atakunyenyekea pale anapohitaji kitu,akishakipata atakusumbua mno ili kurudisha heshima yake.Atakutumia na utamtumia pale anapokuwa na maslahi na wewe.Kama ccm itamhakikishia chama chake kukua basi yupo tayali kuwaangamiza wapinzani wote abaki yeye peke yake.

Kama pia akiona upinzani wenzake watamsaidia kukua kisiasa basi ataungana nao kwa hali na mali .Na usishangae 2020 akiungwa mkono na ccm na Cuf ya Lipumba ili apunguze kura kwa upinzani na hasa kula za dini ile atazipita vya kutosha.

Nachowashauri upinzani watafute platform moja ya kunadi sera zao.Waunde chama kimoja na waache uroho wamatumbo yao iIi wawe na nguvu moja.Haiwezekani upinzani wanachukuliana wanachama kama ilivyotokea ukawa(chadema) kwa kumchukua Kafulila na kufikiri iliwafurahisha Nccr Mageuzi(Mbatia).Kwahiyo upinzani wawe makini hasa chadema nakila hatua wanazopiga.

Nahio ndio sasa kukubali kutumika pale nawewe unaponufaika maana siasa za Tz bila unafiki hazinogi.Ndio maana chadema walikubali kumtumia Lowasa ili waende ikulu,na JPM anawatumia cuf(profesa)ili ajiimalishe kisiasa.Ni unafiki tu na kama huwezi unafiki siasa za Tz sio rafiki kwako.unahitaji kuwa mnafiki kama Nape,Lowasa,Zitto,Mbowe,Magufuli,Mbatia,Lipumba,Lisu ili ule matunda ya nchi yako tamu Tz.
Haya ni mawazo yako tu.Siku zote Siasa ni mikakati.Anayoyafanya Magufuli ni kwa nia njema kwa manufaa ya watanzania.Anaweza kukosea kama binadamu lakini hiyo haimfanyi awe hafai.Hata tungekuweka wewe usidhani ungetenda kama malaika.Wewe unaona ubaya tu wa Magufuli.Hutaji Jema hata moja.Unataka aondooke kesho,nani unataka aingie ambaye ni malaika.Mbona huko nyuma waliotangulia mliwataja kuwa wote mafisadi na kuwazomea.Huyu asiye fisadi na anayepambana na ufisadi naye hafai?.Watanzania msipojivunia cha kwenu nani atavithamini vya kwenu,?.Unataka Wakenya wamsifie Magufuli Wakati nyie wenyewe mnamshambulia?
 
Katika tukio moja pale Zanzibar rais Magufuli aliwahi kumshangaa sana rais wa Zanzibar, Shein, kwa kuwashirikisha wapinzani (Seif na chama chake cha CUF) katika serikali. Rais Magufuli akasema katika serikali yake wapinzani katu hawatatia mguu. Leo kimebadilika nini katika msimamo wake au katika upinzani? Ndiyo maana aunga mkono hoja kwamba huo ni mkakati.
 
Aishi kwenye Maneno yake. Alisema serikali yake kamwe hatafanyakazi na wapinzani! Hata Mwaka haujapita anateua mpinzani! Kwanini? Ameishiwa mbinu. Aibu sana.
Hivi uliwahi kufikiria kama ACT ni chama cha upinzani? Kweli? Hebu kua serious brother; act haijawahi kua hivyo. Umeisha wahi kujiuliza chama hakina hata mwaka 1 but kina rasilimali za kutosha, yaani magari na vitu vingine vya thamani, walikua wanapata wapi? Nimejikuta namkumba the former shushushu lililo kubuhu ambalo nadhani liliukwa ubalozi wa kule Canada, anaitwa Jack Zoka.
 
Hakika atakuwa Ni Rais wa kwanza kutawala mhula mmoja. 2020 lazima apigwe chini.
Nyie jifarijini tuuu mpaka YESU arudi,tume yetu na jeshi letu ,wakurugenzi , maDC,maRC,eti kiongozi wa muhula mmoja.....
Utasubiri mpaka kukuche mkuu,that wil never happen,labda mfanye maamuzi magumu kama kenya.seif kila cku anaporwa na unaufyata sembuse bara!!!!?!
Kabisa, kabisa watanzania wanatamani uchaguzi uwe kesho, yani vipindi vya kampeni vimeshapita....hata afanye nini, hawezi kupita. Tumemshamjua, he is up to no good
 
Umemjazia Raisi wetu maneno mengi mdomoni kama vile unamjua. Blah blah kibao eti hapendwi! hata proof ya hayo ni maneno yako tu.

Mtanyooka tu

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeee
 
Ni nani alikudanganya kuwa Rais yuko pale ili apendwe na wasomi?

Rais yuko pale kufanya kazi na wasomi na amelionesha hilo toka alipoingia madarakani.
Anafanyakazi na wasomi wa UDSM peke yake, unajua ni kwanini? Scratch my back I will scratch yours. Anawateua wamfichie aibu ya bao la mkono la PhD yake.
 
Anafanyakazi na wasomi wa UDSM peke yake, unajua ni kwanini? Scratch my back I will scratch yours. Anawateua wamfichie aibu ya bao la mkono la PhD yake.

Si wewe unaejuwa uifichue?

Hizo ni porojo na siasa maji taka, mmekosa kabisa hoja za kisiasa sasa mnahororoja na kubwabwaja bila mpango.

Hawa nao ni wa UDSM?:

He attended Quincy College in Massachusetts, United States for a preliminary course before transferring to Saint John's University in Minnesota, where he majored in Peace Studies.[3] He then undertook an internship at the Carter Center,[4]before obtaining his MSc in Conflict Analysis and Resolution from the School for Conflict Analysis and Resolution at George Mason University in 2004.[5]

She completed her schooling from the Zanaki Girls Secondary School in 1997. She received her Bachelor of Laws from the University of Hull in England in 2001. She went to finish a post-graduate diploma in Law from the Staffordshire University in collaboration with Central Law Training in 2002. She worked in the Attorney General's chambers as a legal secretary and lawyer between 2004 and 2008. Kairuki then moved to the private sector as Head of Department of the Ethics, Compliance and Governance at VODACOM Group PTY.[1]

Nikuongeze wengine?
 
Back
Top Bottom