Uteuzi wa Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji waivuruga UVCCM

Realistically kapewa natural skills ambazo wengi hatuna, binti ana natural talent za ku interact na makundi tofauti at their personal level; dakika moja tu anaweza pata teenage excitement to fit the occasion anapokuwa na wanafunzi wa sekondari mara akaonyesha heshima ya ajabu kwa watu waliomzidi rika.

She is natural on that position CCM hapo nadhani wamefikiria tactical zaidi, vijana makini wa shule na vyuo wanamwelewa sana na yeye anawaelewa sana.
 
".....baadhi ya viongozi wa juu wa UVCCM hawakushirikishwa katika uteuzi huo uliofanywa na kigogo mmoja wa umoja huo....."

Hivi unafanya nini au unakuwaje mpaka unapewa wasifu wa kuitwa KiGOGO?
 
Tatizo bongo movie hawana akili ya kuelewa wanafikiri kupigiwa makofi kuwa wamehudhuria mkutano wa chama Dodoma inawafanya wathaminiwe kumbe wanachukuliwa kama wasio na shughuli ya maana so wanaweza kukurupushwa kwenda popote kujaza ukumbi na wakaenda any time.
Hahahahaaaaaaa acha wakome, wajaza kumbi za CCM tz
 
Ndio huyu kiongozi wetu
 

Attachments

  • FB_IMG_1493328530898.jpg
    FB_IMG_1493328530898.jpg
    76.9 KB · Views: 34
Back
Top Bottom