Uteuzi wa Anna Mghwira kuwa RC ni sura halisi ya Zitto Kabwe

Kibaraka zito hajajua kua unafiki wa kujifanya mpinzani wakati yeye ni tawi la matakataka ya ccm ni laana kwake na nchi kwa ujumla. Watu wanauawa hovyo, watu wananyimwa haki zao halafu leo lidude linaitwa lipinzani linaungana na watesaji? Aibu kubwa.
Kuna jamaa alishawahi kusema humu.Z ni TISS.
 
Baada ya yule Prof. kuwa katibu mkuu, na sasa Anna Mgwira, bila shaka itafuata zamu ya Zitto Kabwe. Hivyo Mh. Zitto Kabwe anaungana rasmi na waheshimiwa Lyatonga, Ahamadi Rashid, Lipumba, Lamwai, Zuberi Mtemvu, Shamte, nk katika siasa za Tanzania ambazo watoto wetu huko mbele watakuja kujisomea kwenye historia ya demokrasia Tanzania.

Nampongeza Rais Magufuli kumuteuwa Anna Mgwira. Upinzani sio uadui, na usimfanye Rais kushindwa kufanya kazi na Watanzania ambao wako kwenye vyama vingine. Kuna watu wenye integrity kwenye vyama vyote ikiwa pamoja na CCM. Na kuna watu wa sio na integrity kwenye vyama vyote ikiwa pamoja na CCM. Watu hawa wako kwenye siasa kwaajili ya matumbo yao na wana ubinafsi mkubwa, na tunawajuwa. Rais yuko sawa kufanya kazi na Watanzania wote kutoka vyama mbali mbali wenye moyo wa kweli wa kulitumikia taifa hili. Hongera Rais kwa kumteuwa Anna. Endelea kufanya hinyo, yeyote anayefaa kujiunga na team yako Na kama yuko tayari kuwatumikia Watanzania mkaribishe.
 
Kujibishana na mjinga wewe kama lilivyo jina lako ni upotevu wa muda tu
ac3ba1857e83c04c95b9b36ea18faa59.jpg
 
wivu unawasumbueni
suala la wivu hapa halipo. kinachotakiwa ni mama yetu Tanzania anatokaje hapo alipo. Wako watu wanaowazuga watanzania wenzao kwa kufifisha kwa hila na giriba kuwa ni wenzao katika kuitafutia Tanzania ahueni kumbe sio. Wako watu wanasema ndiyoooo kwa kila jambo na kisha kupongeza kila jambo utadhani akili zao zimeenda likizo kwa kipindi kirefu tangu nchi ipate uhuru. Ni maslahi gani hayo yasioyolilenga taifa?
 
Nawaza Zitto Kabwe atamuunga mkono mteuaji Sizonje?? Maana yeye na Sizonje haviivi kwa sababu nyingi ikiweno Terrible teens ndege, udikteta na mengineyo. Let's wait until the time to reach the truth of ACT WAZALENDO
 
Nampongeza Rais Magufuli kumuteuwa Anna Mgwira. Upinzani sio uadui, na usimfanye Rais kushindwa kufanya kazi na Watanzania ambao wako kwenye vyama vingine. Kuna watu wenye integrity kwenye vyama vyote ikiwa pamoja na CCM. Na kuna watu wa sio na integrity kwenye vyama vyote ikiwa pamoja na CCM. Watu hawa wako kwenye siasa kwaajili ya matumbo yao na wana ubinafsi mkubwa, na tunawajuwa. Rais yuko sawa kufanya kazi na Watanzania wote kutoka vyama mbali mbali wenye moyo wa kweli wa kulitumikia taifa hili. Hongera Rais kwa kumteuwa Anna. Endelea kufanya hinyo, yeyote anayefaa kujiunga na team yako Na kama yuko tayari kuwatumikia Watanzania mkaribishe.
Bahati nzuri video za alichoongea Unguja nchini Zanzibar alisema Kwenye serikali yangu hakuna mpinzani wa kukanyaga
 
Sioni tatizo kwa Zitto kwenda kokote au kukubali uteuzi wowote atakaopewa na JPM as long as ni maisha yake binafsi na aliamua mwenyewe kuwa mwanasiasa. Wakati mwingine tuheshimu utashi wa mtu...
Sio kwa kuwazuga watu ambao wana nia na malengo tofauti na yeye. Watu waliokuwa wanamfuata ZZK kule aliko walidhani kuwa wapo pamoja naye katika kupinga namna hali zao zilivyo na wale wanayoyaendesha mambo hayo. Maskini wananchi hawa hawajui kwamba kuwa mwanzao amejivalisha tu ngozi ya kondoo. Hii ni dhambi kubwa ambayo haimwachi mtu hivihivi aende zake.
 
Nawaza Zitto Kabwe atamuunga mkono mteuaji Sizonje?? Maana yeye na Sizonje haviivi kwa sababu nyingi ikiweno Terrible teens ndege, udikteta na mengineyo. Let's wait until the time to reach the truth of ACT WAZALENDO
Biashara yake ndivyo hivyo inavyoanza, yaani inaanza kwa mkwara na msimamo mkali dhidi ya mtawala na system ili kuzoa fikra za wananchi "ma...zu..zu" wanaokerwa na namna mambo yanavyokwenda. Wakishaingia wengi sana kwenye mtego wake yeye ndiyo dau lake linapanda. Atadai dau kubwa apewe ili kuharibu kura za "misuku..le" wake.
 
ZZK anaweza asiteiliwe...Kama unakumbuka ule waraka na mission ya siri Na mapesa aliyomwagiwa yeye Hana mkataba na ccm kuwa kiongoz...anakaz kuua upinzani
 
Safii sanaaa sasa vyama vya upinzani tutaofanya mikutano ya siasa bila bugudha ya kibali cha mkutano katika mkoa wa Kilimanjaro
Hivi kilimanjaro tumebakisha majimbo mangapi tumalize mkoa wote kuwe na wabunge wa upinzani na Mkuu wa Mkoa Mpinzani
 
Zito hili alilijua ndo maana hajaongea chochote. ACT nahisi @ kiongozi wake ni mwanachama hai wa ccm. Ni kakikosi kazi ka ccm maana huwezi kupewa ukuu wa mkoa bila kuwa kada wa chama na vikao vyote vya chama mkoa mkuu wa mkoa ni mjumbe kwa ataingia bila kuwa mwanachama
Katiba yao ( ya ccm ) inasema RC anakuwa mjumbe ikiwa ni mwanachama wa ccm ila sio lazima kwa ma RC kuwa wana ccm
 
Sioni tatizo kwa Zitto kwenda kokote au kukubali uteuzi wowote atakaopewa na JPM as long as ni maisha yake binafsi na aliamua mwenyewe kuwa mwanasiasa. Wakati mwingine tuheshimu utashi wa mtu...
Hebu jiweke nafasi ya Mwanachama wa ACT, halafu uandike hiki ulichoandika.
 
Hebu jiweke nafasi ya Mwanachama wa ACT, halafu uandike hiki ulichoandika.
Naelewa kile unachokimaanisha, lakini bahati mbaya sijawahi (na sitarajii) kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, ndio maana hapa naeleza mtazamo wangu kama mtu huru nisiyefungwa na itikadi za chama...
 
Ina maana kwa mfano mama Anna akikataa huo uteuzi ni faida zipi tutazipata?
 
Baada ya yule Prof. kuwa katibu mkuu, na sasa Anna Mgwira, bila shaka itafuata zamu ya Zitto Kabwe. Hivyo Mh. Zitto Kabwe anaungana rasmi na waheshimiwa Lyatonga, Ahamadi Rashid, Lipumba, Lamwai, Zuberi Mtemvu, Shamte, nk katika siasa za Tanzania ambazo watoto wetu huko mbele watakuja kujisomea kwenye historia ya demokrasia Tanzania.

Zito hawezi kufit kwenye serikali ya Magufuli, he is not straight, he can not be trusted. Huwezi kumuamini, anavyosema na vitendo vyake ni vitu viwili tofauti.
 
Ina maana kwa mfano mama Anna akikataa huo uteuzi ni faida zipi tutazipata?
Ili uzijue faida tutakazozipata akikataa ni lazima kwanza uzifahamu hasara ambazo tungezipata kama akikubali kuteuliwa
 
Back
Top Bottom