Nafkiri tuache kuwa na dhana ya udini, au ubaguzi wa aina yoyote always anapoteuliwa mtu angalia weledi na ujuzi wake kwenye taasisi husika, huyu mteule wa hii nafasi kubwa na nyeti kwa uchache ni mjuvi katika uwanda wake wa ujasusi, pia ni mwandamizi, na zaidi ni mjanja na ni mtoto wa mjini haswa, hivyo anastahili sana, namkumbuka enzi zile kabla ya 2015 alifahamika sana.Mh.Rais ana maana yake kubwa kumteua huyu., Kumbuka kuwa katika nyanja hizi hata matishio mengi yanatokana na 'mambo ya kisasa" , so lazima kuwe na taasisi iliyoboreshwa kuwa ahead na mambo mtambuka hivyo kuweka taifa salama na amani kuendelea kurindima nchini mwetuUtajikojolea amka, wakatoliki ni zaidi ya 40% ya watz sisi tunazo takwimu zetu tayar mana daily tunahesabiana na huko iringa hakuna evidence yoyote ya mtwa kuwa muislam hili nnaforce daily na halitatokea, sasa nyinyi si mpo wengi mimi naona zipigwe tu ili mbabe ajulikane ili hizi kelele ziishe