UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi na uhamisho wa Naibu Makatibu Wakuu. Dkt. Msonde kulamba asali TAMISEMI (Elimu)

Kuna mahali fulani fulani nimesikia kuwa msingi wa huu uteuzi umekaa kimkakati wa BAKWATA!

Kuna mgalatia alikuwa anang'olewa pale NECTA ili mfilisti awekwe pale, halafu ile michezo ya kuwabeba wanafunzi wa dini fulani ili kwenda sambamba kwa pamoja kiwiano iende fresh. Hizo hamisha hamisha zingine ni kuzuga tu ili wajinga wasielewe mchezo kirahisi.

Alianza Profesa Joyce kutolewa pale wizara ya elimu, sasa amefuata Dr. Charles kuondoka pale NECTA........

Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili za walishwa mashonde na divai ziwakae vizuri.
 
Mbona kama una hasira! Watu wanasifia tu utendaji kazi wake mzuri na ulio tukuka! Na hasa kudhibiti udanganyifu kwa sehemu kubwa, lakini pia kuitoa NECTA kutoka kwenye mfumo wa kusahihisha mitihani kwa kutumia kalamu, mpaka kwenye kutumia computer!

Kwa mafaniko haya machache, watu wana haki ya kuulizana maswali ya hapa na pale.
Nilichokumbusha ni nafasi ya uteuzi kuwa ni ya kupita tu....lengo ni Tanzania kuendelea hadi dahari💪
 
Necta itakaa vizuri tu pamoja nasonde kuondolewa,kweli ni mchapa kazi na aliiweza,amedhibiti uvujaji wa mitihani lakini tukumbuke hata Ndalichako alipotolewa tulidhani Necta haitatulia lakini mambo yalikaa sawa.
 
Hapa tutaona Hongera (kwa wenye maslahi) na kuponda (kwa wenye kukandmizwa na kutokua na maslahi na utenguzi na uhamisho) ila this is a normal drama yaani ni kama Taifa starz na wqchezaji walewale bila kuwekeza katika talents na kukukuza kulea viongozi sio chomeka pakua hii ya mtoe pale muweke pale hata bila kutathmini alipokua kafanya nini /achievement na anakoenda patamfaa au ni kusogezeana umri wa kustaafu tu ikienda pamoja na kulindana maslahi tu.
 
Kuna mahali fulani fulani nimesikia kuwa msingi wa huu uteuzi umekaa kimkakati wa BAKWATA!

Kuna mgalatia alikuwa anang'olewa pale NECTA ili mfilisti awekwe pale, halafu ile michezo ya kuwabeba wanafunzi wa dini fulani ili kwenda sambamba kwa pamoja kiwiano iende fresh. Hizo hamisha hamisha zingine ni kuzuga tu ili wajinga wasielewe mchezo kirahisi.

Alianza Profesa Joyce kutolewa pale wizara ya elimu, sasa amefuata Dr. Charles kuondoka pale NECTA........

Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili za walishwa mashonde na divai ziwakae vizuri.
Ycs
 
Nimechangia Sana huu Uzi zaidi ya posts kumi na usheee. Moderators mmeziondoa. Mngeziacha ili ijulikane opinion za watanzania. Au nanyi zimewagusa?
 
Hapana kabisa kumuondoa Charles Msonde NECTA ni kuua uadilifu kabisa. Boss huyu aliiweza NECTA. Heshima ya mitihani ikajitokeza. Mifuko ya kidigitali kusahihisha mitihani. Matokeo kwa haraka mno tena yakiwa perfect kabisa. Leo hii anapekekwa Tamisemi kusibiri maekekezo. Not fair. Au ndiyo Yale malalamiko ya upande wa pili kuwa Mkristo anakandakiza? Hakuns Katibu wa NECTA ambaye hakuwahi kulalamikiwa na hao Jamaa. Sasa tunasubiri jina litakaloteuliwa ndiyo tutapima ukweli.
Analetwa bakwata pale
 
Pengine atakayeteuliwa na kupelekwa pale atakuwa ni mzuri zaidi kiutendaji na kiuadilifu Pia Kama huyo Msonde au hata kumzidi huyo Msonde!

Ngoja tuone!
 
Msonde ni mtendaji mzr ,kichwani katulia tumpe ushirikiano Tamisemi mwamba anaweza
 
Back
Top Bottom