The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,081
- 14,117
Nimekupata Mkuu... lakini hii ya mazoea ndiyo itakayompa Magufuli ushindi. Watake wasitake lazima wataachia tu!! Wanachokifanya sasa ni kuchelewesha muda tu. Na kama watajifanya wababe mwisho wa siku wao ndiyo wataumia maana Magufuli ndiye ameshika mpini wao watakuwa wanashika makali!!Mkuu uko sahihi. Lakini shida iliyoleta sintofahamu ndani ya chama chao ni kitendo cha Magu kuanza kunuattack mwenyekiti wa chama chake kinyume na MAZOEA yao. Hapo ndio uwezekano wa nao kumfanyizia ndani ya chama kujitokeza.
Kitendo cha Kinana kusema juzi UDSM kuwa kiongozi bora ni yule anayepokea ushauri wa wenzake sio afanyaye kwa mawazo yake tuu zilikuwa salam kali.
Kumbuka hicho chama kinachoenda kupiga kura bado kiko chini ya JK na Kinana