maajabu haya chama chenyewe kina diwani mmoja na mmbunge mmoja!Hiv MBA ya kenyata university hapa Arusha,inamfanya mtu akose muda wa kuendelea na,shughuli za chama,dah hii ...sio kwel. ..
nani kakuambia chama kina diwani mmoja? we endelea tu kulewa mbege ndo unayoweza hayo mengine waachie wanaoweza.maajabu haya chama chenyewe kina diwani mmoja na mmbunge mmoja!
umezaa nae kumbe.Yaani CHAGGADEMA bado tu mnamsakama Baba Watoto wenu ZITTO?