Utamu wa asali

Mbwa kanenepa gafla sipati kilio chake kilikuwaje wakati anakula sindano za nyuki
 
Nyigu hao wa kwenye picha sisi huwaita Dondola, wanadunga vibaya sana na maumivu yake hayaelezeki, nakumbuka niliwahi kudungwa juu ya mpera manusura nijiachie hadi chini. halafi si kama nyuki hudunga mara moja tu, huyu hudunga na kurudia kadri atakavyo mwenyewe.
 
kijijini kwetu Rufiji tunawaita mavui hawa...dondora wadogo....wasikie tu hawa nuksi hawa.....wanakuflotisha fasta mnooo
 
Hahaha nyigu ni noumer anaweza akakudunga sindano mara kibao sio kama nyuki.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom