Utalii ni muhimu na rahisi kuliko viwanda, Rais Magufuli ashauriwe

sikutegemea kama ungekuja na defence ya KICHOVU kama hii....ama kweli mtu ukiwa CCM inakubidi kwanza ujitoe akili!
= defense

Kwani kuna vita?

Kiwango chako cha kufikiri ni duni sana, sitegemei kabisa kama utaweza kuelewa nilichokiandika

You are simply too shallow.
 
Uchumi wa viwanda ni mzuri zaidi kuliko kuwekeza kwenye utalii. Na tija ya viwanda si lazima iwe ushindani.

Viwanda vya ndani ni mbadala mahususi katika kujitegemea na kupunguza "balance of payments". Fedha nyingi tunazopata zinakwenda nchi zingine katika ununuzi wa vitu vidogo sana tunavyoweza kutengeneza sisi wenyewe.

Hata hivyo kama tutawekeza zaidi katika utalii na sio viwanda,basi uhakika wa kupata fedha za kigeni nyingi ambazo zitaweza kukidhi manunuzi yote ya bidhaa kutoka nje ya nchi
Uko sawa lakini mi naona ya viwanda limekaa kimkakati wa mda mrefu mana its a process.
 
Uchumi wa viwanda ni mzuri zaidi kuliko kuwekeza kwenye utalii. Na tija ya viwanda si lazima iwe ushindani.

Viwanda vya ndani ni mbadala mahususi katika kujitegemea na kupunguza "balance of payments". Fedha nyingi tunazopata zinakwenda nchi zingine katika ununuzi wa vitu vidogo sana tunavyoweza kutengeneza sisi wenyewe.

Hata hivyo kama tutawekeza zaidi katika utalii na sio viwanda,basi uhakika wa kupata fedha za kigeni nyingi ambazo zitaweza kukidhi manunuzi yote ya bidhaa kutoka nje ya nchi
Hongera sana kaka kwa mawazo mazuri...at least jf unaweza pata health arguments katika thread chache kama hizi

Ni kweli light industries zinahitajika ili kupunguza importation ya vitu ambavyo tunaweza kuvizalisha ili kuleta favourable balance of payment lakini utalii na madini tukivipa kipaumbele,nchi yetu itaendelea

Utalii hauhitaji nguvu nyingi kutokana na hali yetu halisi ili uendelee lakini viwanda ni habari nyingineyo
 
Wachache tu wanaleta ubishi but ina make sense....
 
ujue kuna kitu hapa nakiona katika hili,tukiacha hili la viwanda tukadili zaidi na utalii huoni asilimia 70+ ya wananchi wanaotegemea kilimo bado wataendelea kutaabika kwa kuendelea kukosa masoko? na tukisubiri zaidi huoni kama tukifikia huo wakati wakudili na viwanda tutakuwa tumechelewa kwa kuwa ushindani kutoka nje utakuwa mkubwa zaidi ilivyo sasa??

Uchumi ni kama mzunguko. Ukiongeza idadi ya watalii inamaanisha soko la vyakula kutoka kwa wakulima litaongezeka pia. Watu watakaopaya ajira kutokana na utalii nao pia ni soko. So sioni kuwa wakulima watakosa soko.

Kumbuka tunajinasibu kuwa zaidi ya 70% ya wananchi wetu wanategemea kilimo, first ni kwa sababu hawana option nyingine (ajira) and second ni wakulima wadogo wadogo sana ambao wanalina kujikimu sio kibiashara. Kuwekeza kwenye utalii kwa sasa ni jambo la busara zaidi.
 
mkuu viwanda havianzishwi KISIASA bali vinaanza vyenyewe KIUCHUMI. wakati Nyerere anaanza kuongoza nchi hii alijenga viwanda KISIASA na vilikuja kumshinda. kwa mfano kiwanda cha kuprocess tumbako inayolimwa TABORA alikijenga MOROGORO ili watu wa morogoro nao wapate kiwanda ambacho kitawaajiri. matokeo yake kiwanda kinaingia hasara ya kusafirisha tumbaku kutoka tabora hadi moro na pia ubora wa tumbaku kushuka...tumbaku huharibika kwa kusafirishwa muda mrefu. viwanda havilazimishwi ila huchanua vyenyewe kutokana na mahitaji ya kiuchumi. naishangaa serikali kupandisha ushuru wa mitumba wakati viwanda vya ndani vinatengeneza kanga tu...viatu na nguo tutanunua wapi? kukurupuka ni jambo baya sana.
Ni kweli viwanda havianzishwi kisiasa. Lakini utashi wa kisiasa lazima uwepo. Kwasababu kodi pamoja na pesa za matumizi ya serekali zinaelekezwa wapi, vinahusika sana katika kusababisha au kutokusababisha viwanda. Na maamuzi hayo ni ya kisiasa. Kwahiyo ni vigumu kutenganisha siasa na uanzishaji wa viwanda.
 
kwa hiyo unataka kusema kwamba matakwa ya KISIASA katika uanzishwaji wa viwanda ni muhimu kuliko yale ya KIUCHUMI?
 
kwa hiyo unataka kusema kwamba matakwa ya KISIASA katika uanzishwaji wa viwanda ni muhimu kuliko yale ya KIUCHUMI?
Kwa bahati mbaya matakwa ya kiuchumi yanasimamiwa na wanasiasa. Kwahiyo hata kama yapo, lakini wanasiasa hawataki huwezi kuyapata.
 
= defense

Kwani kuna vita?

Kiwango chako cha kufikiri ni duni sana, sitegemei kabisa kama utaweza kuelewa nilichokiandika

You are simply too shallow.
hiki ndicho unachokijua tu....kwa taarifa yako, hakuna tofauti yoyote kati ya DEFENCE (UK English) na DEFENSE (American English).....majibu yote A na B ni sahihi. nina hakika hili somo huwezi kulielewa kwa kuwa akili zako zote zimegota kwenye buku 7.
 
Sasa hivi biashara ya utalii imekwama? Why....Tayari kuna confusion

Biashara imesimama kwa sababu Travel Agents na Tour Operators hawaelewi regulations on how to apply VAT....

Mfano, Lodges zinatoza VAT, halafu Travel packages tena VAT?

Ingredients za Travel packages ni Lodges, Transport safari car na Park entry fees

Park Entry fees ni Pesa za serikali na VAT ni Pesa ya Serikali
 
Back
Top Bottom