Utajiri wa wafanyakazi wa TRA uchunguzwe

Riskytaker

Senior Member
Mar 14, 2024
156
706
Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.

Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.

watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
 
Hawa watu ni wala rushwa kubwa namba 1 hapa Tanzania, sio kwamba serikali haijui inajua na inawafumbia macho, wana utajiri mwingi wa kutupwa waliouficha maeneo tofautitofauti na kwa majina ya ndugu zao.
Siku moja mzigo wangu ulikamatwa wakaufikisha ofisini kwao, baada ya jitihada flani nikaambiwa nikauchukue mida flani, wee niliwakuta jamaa 3 nyuma ya jengo wanagawana mzigo wa pesa, yani kila mmoja anabeba na mabegi, aisee huenda siku hiyo ningekuwa na silaha ningegeuka muhalifu.
 
Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.

Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
Ni kweli magufuli tu ndio aliiweza hii nchi wezi kila kona kama hawa watumishi wa tra ndio usiseme wengi ni matajiri wa kutisha
 
Pesa ipo hapo acha wale.kujazana kwa jamii fulani ndio kawaida ya ubinafsi wa binadamu
 
Wakiungana na ndugu zao wa TBS wanacho jua ni kutafuta expire date hata za pipi waku nyonye
 
Back
Top Bottom