Lomaa lolusa
Member
- May 15, 2017
- 28
- 43
Members habari naweza kutajirika kupitia ufugaji na kitu gani Cha kufuga kitakachonitoa haraka
Morogoro itaweza kukuza mbuzi vzur kwelNi Mbuzi au Nguruwe kama una eneo kubwa.
Hii mifugo inaliwa sana na haina magonjwa mengi. Weka na Bata pembeni.
Anzisha mfumo wa ufugaji ng'ombe wa kienyeji wa kunenepesha (Feedlot system). Kila baada ya miezi 6 (Sita) unavuna na unaanzisha tena. Kwa mwaka utavuna mara mbili ukilinganisha na mtu wa kilimo cha mahindi atavuna mara moja tu kwa mwaka.Members habari naweza kutajirika kupitia ufugaji na kitu gani Cha kufuga kitakachonitoa haraka